Facilitator
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,279
- 1,772
Mimi sijali kama kaoa kafiri au kafara!
Aliyekwambia lipumba anawakilisha waislamu ni nani!??
Na huo ndio tunaita unafiki!!
Unajua nyie wala viti moto haya matatizo yenu ya kifikra hayawezi kwisha! Mpaka muache kutumia makalio kufikiri!
Mnaingiza huo mfumo wenu wa kiparokia kila kona!
Siku hizi hata kwenye nyumba za kulala wageni mnatuwekea biblia!!
Mna nyanyasa waislamu kila nyanja ya serikali! siku zote Mnashirikiana na wale maadui wa haki! Mna promotes hio mifumo kanisa kila kona!
Mnadhani sisi hatuoni sio!?
Mkiambiwa!! Mnaita watu magaidi!!
Manake hata muuza karanga! Akipiga kelele tu kuhusu haki zake na hali amefuga ndevu na kavaa kibalagashia!
Basi na yeye ni GAIDI!!
Halafu kwa taarifa yako hao unaowaita wenye elimu ya madrasa ! Ndio wanao provide ajira kwa watanzania wengi kuliko hao wala vibudu!
Sasa we toa povu lako lkn sisi tunaangalia tu!
Siku ikifika ya kuuchomoa huu mfumo galatian! Utaparamia ukuta wewe kama umeona simba!!
Hata uje na elimu yako ya misahafu na biblia kama haujasoma shule ya duniani huyoweza kigundua na hata kujua matatizo ya kidunia.
Mi sinimesema we ni MNAFIKI!!
Unasema "I hate pretender" wakati only two minutes ago ulikuwa unajifanya bla..bla..bla..my foot!
We mla kibuda unatokwa povu bila kujitambua!
Mara sisi jamaa zako! Mara adui zako!
Make up your mind "swine flu"
We umeona mimi na sympathize na mparokia yyt hapa!
Kashfa ndio elimu wazazi wako waliokufundisha! Na unfortunately elimu ya maana hukupata!!
Kwa hiyo! Do your worst but you can be like us!
Al mal -uun layyin rajeem wahedi!
Kipindi cha Nyerere ilisemwa nchi inaendeshwa Kikristo, kipindi cha Mkapa pia.
Kipindi hiki cha JK maneno ni yaleyale. Yapo maneno yalishawahi kusemwa kuwa Prof Lipumba akiwa ktk mckiti m1 maeneo ya Kariakoo alinena kuwa alifanya jitihada ili JK aingie madarakani kwa kuwa ni Mwislam.
Sasa nashindw kuelewa vzur:
1. Tupe tafsiri yako kuhusu 'mfumo Kristo'
2. Je, JK anaendesha nchi kwa kutumia mfumo Kristo au unataka kutuambia JK anendeshwa kwa kitenda-mbali (remote control) toka nyuma ya pazia?
3. Kama wakristo waliendesha nchi kwa mfumo Kristo na waislamu nao wanaendesha kwa mfumo Kristo je, ni nani takaeiendesha kwa "mfumo islamu"? Je huyo atakuwa Mpagani(asie na dini)?
Meaning of Kaafir:
The word Kaafir (or Kafir) is derived from the root verb kafara, which means to deny God, conceal, reject or disbelieve. Therefore, a Kaafir is one who disbelieves,
Umenena vema,wafahamishe,wataelewa tu.
Kudhoofishwa nguvu za Umma wa kiislamupale ilipovunjwa EAST african Welfare Muslim Society(EAMWS) na zilipozimwa juhudi za kuanzisha chuo kikuu cha kiislam mwaka 1964.View attachment 108609
Vyuo vilivyotunukiwa hati baada ya kutimiza taratibu zote na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr Jakaya mrisho Kikwete ni Chuo Kikuu cha Tumaini (TUMA), Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Chuo Kikuu Kishiriki cha Ruaha (RUCo), Chuo Kikuu cha Mount Meru (MMU), Chuo Kikuu cha Arusha (UoA),Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo), Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia Arusha (NM-AIST) na Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST).
Kwenye red hapo Angalieni juhudi za wenzenu wakristo kati ya vyuo nane 6 ni vyuo vinavyomilikiwa na wakristo. na ukienda kwa undani zaidi utawakuta waislamu wengi tu wanasoma katika vyuo hivyo
Muislamu hachagui pakusoma,ni Amri waliyopewa na Mtume Muhammad,alisema,"TAFUTENI ELIMU MPAKA CHINA". Na akasema"Elimu ni lazima kwa muislamu mwanamke na muislamu mwanamme"View attachment 108609
Vyuo vilivyotunukiwa hati baada ya kutimiza taratibu zote na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr Jakaya mrisho Kikwete ni Chuo Kikuu cha Tumaini (TUMA), Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Chuo Kikuu Kishiriki cha Ruaha (RUCo), Chuo Kikuu cha Mount Meru (MMU), Chuo Kikuu cha Arusha (UoA),Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo), Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia Arusha (NM-AIST) na Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST).
Kwenye red hapo Angalieni juhudi za wenzenu wakristo kati ya vyuo nane 6 ni vyuo vinavyomilikiwa na wakristo. na ukienda kwa undani zaidi utawakuta waislamu wengi tu wanasoma katika vyuo hivyo
Acha ku kopi na ku pasti,wasubiri wanaume waandike,wewe u kopi,na ujui kumeandikwa nini.Una kopi maandishi ya mtu mzee mwenye miaka 71;ubongo pia umeshazeeka,Mtu mwenyew hata dini hana,na haamini kama kuna Mungu.Mbona hu kopi na ku paste maelezo ya binti yake ambaye amesilimu,na kufuata uislamu,na anavaa hijab.Umesha maliza kutoa mapovu kama ilivyo utamaduni wako Miss PASTER?
Do you think I care about Islam??? Ask your demigoddess, will tell you how much I hate her atrocities and diabolical venomous spew.
Get some food for thought here: Dawkins: Islam is 'one of the great evils in the world'
You know! My psychology professor use to say! "Consuming the swine meat periodically could cause some malfunctions in your brain"!
I thought! Mhhh! may be because he was vegetarian thats why he says that!!
But you galatian just proved him right!!
One minute you say "A" then before you know it! Its "B" Now!!
Teh teh teh teh!!
I'll have to call him and apologise now!
Acha ku kopi na ku pasti,watafuta wanaume uandike,wewe u kopi,na ujui kumeandikwa nini.
Acha kujitoa ufahamu wewe. Ninafanya kazi kwenye taasisi moja iliyo chini ya Ubalozi wa GERMANY. Mkurugenzi wetu wa fedha na utawala ni MUISLAM, tena swala 5. Ni mtu VERY INTELLIGENT na ana hofu ya Allah kiukweli. Tabia na mwenendo wake unamtia hamu kila mtu kuwa Muislam. Na wengi tunajifunza kwake (hata wasio waislamu)
Nimekupa tu sifa ya Waislam safi, wanaojitambua.. Kinyume chake, ndo nyie magaidi, maswahiba wa ponda.
Muhammadic paranoia. Muhammadan, when will you get a life?
Na Mwandishi Wetu
SIKU chache baada ya kupelekwa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar kisha Mahakama ya Mkoa Mrogoro kwa helikopta, hali ya kiongozi na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam, Shehe Ponda Issa Ponda imedaiwa kuwa mbaya.
Agosti 19, 2013 saa 2:12, Shehe Ponda alifikishwa Mahakama ya Kisutu, Dar akitokea Gereza la Segerea ambapo alifutiwa mashitaka ya kuchochea vurugu nchini kati ya Juni 2 na Agosti 10, mwaka huu kwenye maeneo ya Zanzibar, Dar es Salaam na Morogoro.
Kama hiyo haitoshi, siku hiyohiyo alikimbizwa Morogoro kujibu mashitaka ya uchochezi aliyoyafanya katika mkutano wa hadhara hivi karibuni mjini humo, hali ambayo ilimfanya atoneshe kidonda chake cha risasi aliyodai kupigwa.
Kwa mujibu wa ndugu wa karibu, kutokana na jeraha hilo la risasi alilonalo kiongozi huyo, hekaheka alizozipata siku hiyo zilisababisha atoneshe kidonda na kumfanya ashindwe kusimama wala kulala hadi familia kufikia hatua ya kuomba arudishwe Hospitali ya Muhimbili katika kitengo cha mifupa (Moi) kwa matibabu zaidi.
Kiukweli hali ni mbaya, wamempeleka harakaharaka tena ghafla, matokeo yake wamemtonesha kidonda. Tunaomba wamrudishe tena Moi (Muhimbili), alisema mmoja wa ndugu wa familia aliyeomba hifadhi ya jina.
Akiwa Morogoro, alipandishwa kizimbani na kujibu shitaka la kwanza la uchochezi pamoja na mengine mawili anayodaiwa kuyafanya Zanzibar. Agosti 10, mwaka huu kwenye mhadhara uliofanyika Viwanja vya Shule ya Ndege, mjini Morogoro, Ponda alidaiwa kuchochea kwa kusema:
Ndugu Waislamu msikubali uundwaji wa kamati za ulinzi na usalama za misikiti kwani kamati hizo zimeundwa na Bakwata ambao ni vibaraka wa serikali.
Shitaka hilo liliunganishwa na mengine mawili anayodaiwa kuyafanya Shehe Ponda maeneo ya Dar na Zanzibar.
PONDA HALI MBAYA - Global Publishers
Unamsifu mkurugenzi hapa ili upate promoshen!!
Nyie watu kwa nini hampendi kuwa wakweli!?
Uislamu unafundisha nini?! Na yule anaesali na kuchekacheka na nyie ndio muislamu mzuri??!
Mwenye kusimama na kutetea haki! Na kupinga mfumo galatia! Basi huyo ni gaidi na muislamu mbaya!!
Sasa kwa taarifa yako kijana! Watu wamechoka na mifumo yenu iliyo tapakaa mpaka kwenye shule za chekechekea!
Na hao kina ponda wako kama milioni!
Amani na utulivu vitakuwepo kama nyie waparokia mtafahamu kuwa tanzania na dunia kwa ujumla kuna watu wengine wenye imani tofauti na zenu ambao wanatakiwa wapewe HAKI SAWASAWA NA NYIE! bila kubagua na kuficha ficha!
Au hakuna kati yetu atapata usingizi mnono!
Na huko kutishia na kutumia vyombo vya dola usidhani vinapunguza nguvu ya wapigania haki!
Bali ndio wanazidi mara dufu! Si tunayaona ulimwengu mzima?
Wallahi naione huruma nchi yangu kwa kuvamiwa na wagalatia wenye uchu wa kila kitu!!
Tuanze na huyo mwenye majina 101! MaxShimba, (1) SCHMIDT. (2) Aswad Band Ehud MWAJUMA (2) Black Uhuru CDM Doedoe msmith Muse A Muse (1)Schneider na mengine meengi tu!