Pombe ya Tshs Milioni tatu kwa chupa

Pombe ya Tshs Milioni tatu kwa chupa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
IMG-20160210-WA0001[1].jpg

pombe hi nimeikuta kwenye pub maarufu hapa dar ikiuzwa bei hiyo
 
siyo mchezo watu na pesa zao
sasa nini kilochomo humo mpk yauzwa ghali hvyo
 
Duh!! Kwa bei hiyo lazma nidai refill......!!!
 
Ukinya huhitaji chakula? Au ukikojoa mkojo wa pombe hii unaharufu ya pafyum
 
Ukiwa na pesa na mpenda starehe ndivyo unavyozid kutekwa na ulimwengu,nini utake usikpate? wakati uswahilini watu wanajiua kwa gongo za choo,
Kuna cku nikiwa naelekea job nikakatiza mitaa fulani masaki nikakutana na jamaa ametoka kununua malaya watatu kwa mpigo anaenda kuwatafuna.....
 
Ebu angali hiyo chupa kwa ukaribu! Hiyo pombe imekuwa "aged" kwa miaka 12! Ina maana imetengenezwa 2004 na ilikuwa "inaiva" kwa miaka yote hiyo! So, usishangae bei yake.
 
Mohans Oysterbay zipo nyingi tuu ughali unatokana na miaka
 
Ebu angali hiyo chupa kwa ukaribu! Hiyo pombe imekuwa "aged" kwa miaka 12! Ina maana imetengenezwa 2004 na ilikuwa "inaiva" kwa miaka yote hiyo! So, usishangae bei yake.

Kumbe hata pombe kali zinaiva, nilijua ni wine peke yake. Ila hiyo bei jamani..looh...
 
Back
Top Bottom