Pombe ya Highlife imechukua nafasi ya kiroba

Mbona hujaweka Kitoko.
Kitoko nusu
JPEG_20201210_144028_8583139552744132811.jpg
 
Kiboko ya hizo pombe kali ndogo zoote ni DOUBLE KICK, ile ni gongo iliyothibitishwa na TBS aisee, kali sana..

Alafu yenyewe ina alcohol 43 % wakati hizo nyingine zote mwisho 40%...
Ice. ina 42%
Prince. ina 45% umewahi tumia..
 
Kiboko ya hizo pombe kali ndogo zoote ni DOUBLE KICK, ile ni gongo iliyothibitishwa na TBS aisee, kali sana..

Alafu yenyewe ina alcohol 43 % wakati hizo nyingine zote mwisho 40%...
Kuna bwana mmoja alipiga double kick tatu, alipoinuka kwenda toilet, ndipo alipojua kuwa hajui. Alikula mwereka mmoja hapohapo aliposimama na kuanzia hapo hakubahatika tena kusimama kwa miguu yake, ikawa kila akijaribu anajipigiza chini, mwisho wasamaria wema wanamtia kwenye mkokoteni kumsogeza kwa mkewe
 
Mkuu mimi bia zimeniketea shida ya kuoatwa na gasi hivyo kupelekea kupata ugojwa wa Acid Reflux so doctor kanishauri nitumie pombe kali kiasi so viceroy ni chaguo langu nikikosa kabisa basi Nyagi haikosekani ndani.
Pole lakini hongera pia kwa kuendelea kuwepo kilingeni.
 
Pombe ukiitumia in positive itakupa matokea chanya
Hizi pombe kali na za bei poa hazina cha positive wala nini....ni suala la muda tu. Ukiwa na nguvu(kijana) mwili unakuwa na uwezo wa kupambana na sumu yake, lakini kadri unavyozeeka mwili nao unashindwa unabaki dhooflihal.

Unakuwa kama nusu-kichaa..unashindwa kuoga, nguo chafu,muda wote unaonekana umelewa(hata kama hujanywa wiki), kila pesa unayopata unafikiria Highlife tu na mengine mengi.

Kama ni lazima unywe, basi kunywa bia.
Kwa bia kama huna uwezo wa kutafuta pesa ya maana..basi hunywi.
 
Kuna bwana mmoja alipiga double kick tatu, alipoinuka kwenda toilet, ndipo alipojua kuwa hajui. Alikula mwereka mmoja hapohapo aliposimama na kuanzia hapo hakubahatika tena kusimama kwa miguu yake, ikawa kila akijaribu anajipigiza chini, mwisho wasamaria wema wanamtia kwenye mkokoteni kumsogeza kwa mkewe
[emoji16][emoji16][emoji16] alizpiga kwa fujo
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Vijana wa sasa bwana yani hadi kumuomba namba demu mpaka unywe pombe
mkuu kunamaeneo lazima uwe macho makavu bila ivyo unaweza kosa kula tunda
 
Hizi pombe kali na za bei poa hazina cha positive wala nini....ni suala la muda tu. Ukiwa na nguvu(kijana) mwili unakuwa na uwezo wa kupambana na sumu yake, lakini kadri unavyozeeka mwili nao unashindwa unabaki dhooflihal.

Unakuwa kama nusu-kichaa..unashindwa kuoga, nguo chafu,muda wote unaonekana umelewa(hata kama hujanywa wiki), kila pesa unayopata unafikiria Highlife tu na mengine mengi.

Kama ni lazima unywe, basi kunywa bia.
Kwa bia kama huna uwezo wa kutafuta pesa ya maana..basi hunywi.
hii kutokana na lifestyle yamtu Kuna watu wanapiga Unga nawanaishi poa lakn kunawengine wako Sobahouse

Unapiga ivi vitu bila mlo kamili lazima zitakubomoa
 
Back
Top Bottom