Pombe ya Highlife imechukua nafasi ya kiroba

Pombe ya Highlife imechukua nafasi ya kiroba

Kiboko ya hizo pombe kali ndogo zoote ni DOUBLE KICK, ile ni gongo iliyothibitishwa na TBS aisee, kali sana..

Alafu yenyewe ina alcohol 43 % wakati hizo nyingine zote mwisho 40%...
Kuna shimwa waragi 42
 
Balaa na nusu
JamiiForums-1816492158.jpg
 
Ice. ina 42%
Prince. ina 45% umewahi tumia..
Mkuu mi natokea mbeya, pombe zote kali nazijua vizuri..

Ila nakushauri achana na Prince ni sumu na sio pombe..

Nina ushahidi wa mashikaji zangu wa4 ambao wakitumia Prince wanababuka ngozi...

Achana nayo hiyo mkuu..
 
mimi nakunywa high life illa ukinywa kavu chooni gogo lake harufu sio poa,.. huwa nachanganya na sprite zero
 
Mkuu mi natokea mbeya, pombe zote kali nazijua vizuri..

Ila nakushauri achana na Prince ni sumu na sio pombe..

Nina ushahidi wa mashikaji zangu wa4 ambao wakitumia Prince wanababuka ngozi...

Achana nayo hiyo mkuu..
Hata mimi niko mbeya... hizo pombe nimejitahidi kuacha nina miezi minne hadi sasa sijawahi gusa...sahivi natumia konyagi tu.
 
Hahaha pombe ndiyo biashara isiyohitaji matangazo lakini inafanikuwa sana.

Ukiuza pombe hata ukiuzia chooni wanywaji na walevi watafika bila kukosa.

Sijui kwanini Coca-Cola na Pepsi hawaoni hili?! Huku wangepiga sana pesa kuliko kule kwenye soda.
 
Back
Top Bottom