Pombe ukinywa ukiwa umekula vizuri, umejaza minyamanyama tumboni unachelewa kulea.
Pombe ukiwa unakunywa mahali tulivu pasipo na kelele au we kuongea ongea sana, kuchezacheza pia unachelewa kulewa.
Pia style ya kunywa, unagugumia kwa kuikata chap kama maji au unakunywa taratibu kwa mafundo makubwa au taratibu kwa mafundo madogo, vyote hivyo vinadetermine ulewe vipi, wapi na kwa namna na muda gani.
Kwahiyo mazingira na namna yako ya unywaji vina mchango mkubwa kwenye vibe.
Hii ni kutoka kwa chama cha matester Tz, ukiwa unatest kinywaji kipya zingatia sana mazingira, hali ya hewa na namna ya unywaji.