pombe sio chai

Supu kwa masela,na watatumia milango yote miwili kuingilia ndani....
 
Utadhani ndio mwisho wa kunywa,haya sasa ti.g.o na jiko vitatumika hivi hivi
 
sio mbaya nguo ziko mwilini duka limefungwa, labda hiyo adhabu ndogo ya kulala chini.hata wewe unaweza pewa ukipita jeshini.
 
Na anajijuwa kichwa chake dhaifu ndio mana katinga na suruali isiwe mambo kirahisirahsi tu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…