Pombe ni mbaya sana!

yaani nikimkuta mlevi kalewa kama huyo hapo,nitamcheka balaa,nafikiri nitaongeza uhai kwa hicho kicheko
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wanasemaga too much is harmful!
lkn wengine hufanya kutokana na maongozi ya hisia that why wanapata matokea ya hivi
 
swadakta kabisa kunywa kupita kiasi hupelekea kutokujitambua na kutokujitambua hupelekea mtu kufanya matendo ya aibu hivyo kuleta picha mbaya ktk jamii.
chengine ni kuongozwa na tamaa ama hisia fulani hupelekea mtu kufanya hivyo so nashauri watu wajue ni kwa namna gani wanaweza shinda hisia zao ili wasifikie vitendo kama hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…