Mkuu naona unatetea kipenda roho chako . Nahisi huyu mleta uzi kama amekukera kimtindo fulani hivi. Ila yeye hakumaanisha vibaya amewalenga wale wanaokunywa bila kuzingatia uwezo wao wa kuhimili alcohol kwenye vichwa vyao.Si unamuona huyo aliyesilala hapo hata kama sio siku ya kazi ukilewa hivyo unadharaulika katika jamii .Pombe inategemea ni ya aina gani na umekunywa kwa kiasi gani. Wapo watu katika siku ambayo wako free wanakunywa bia kuanzia asubuhi mpaka jioni na mwingine usiku kucha mpaka asubuhi na akaenda kwenye shuguri zake au kupumzika. Pombe itakupeleka au kukufanya vibaya kama hujala vizuri especially wisky, spirits na grants ila bia watu wanakunywa tu.
Hapana sio kama amenikera ila hoja ya mtoa mada imekaa kama vile ukinywa pombe itakufikisha katika hali hiyo. Na ikitokea siku pombe ikakufikisha hapo you better stop drinking. Hakuna kitu kinachoshusha heshima katika jamii kama siku ukalewa ukafikia hatua ya kulala kama huyo jamaa au ukaokotwa na watu na kuletwa kwako. Tuwe na kiasiMkuu naona unatetea kipenda roho chako . Nahisi huyu mleta uzi kama amekukera kimtindo fulani hivi. Ila yeye hakumaanisha vibaya amewalenga wale wanaokunywa bila kuzingatia uwezo wao wa kuhimili alcohol kwenye vichwa vyao.Si unamuona huyo aliyesilala hapo hata kama sio siku ya kazi ukilewa hivyo unadharaulika katika jamii .
Kweli kabisa vitu kama hivi havisumbuiPombe inategemea ni ya aina gani na umekunywa kwa kiasi gani. Wapo watu katika siku ambayo wako free wanakunywa bia kuanzia asubuhi mpaka jioni na mwingine usiku kucha mpaka asubuhi na akaenda kwenye shuguri zake au kupumzika. Pombe itakupeleka au kukufanya vibaya kama hujala vizuri especially wisky, spirits na grants ila bia watu wanakunywa tu.