mutu mrefu
Member
- Dec 28, 2013
- 92
- 23
Habari wa Jf mara nyingine ktk pitapita zangu nimebahatika kukaa vikao vingi bar nimegundua ya kuwa wanywaji wengi wa pombe huwa wanaenjoy sana wakutana na wakinywa pombe pamoja. Pombe na walevi, walevi na pombe imekaaje