Pombe na tendo la ngono

Pombe na tendo la ngono

Tatizo ukiishakuwa tegemezi wa pombe, yaani unakuwa huwezi kufanya sex vizuri mpaka ulewe sasa hapo ndio ulishaoa utakunywa kila siku!
 
ukijizoesha pombe ndiyo usex,ukiwa mkavu huwezi. mfano kuna demu nlikuwa naye,yeye akawa anamsema jamaa yake aliyeishi naye kuwa jamaa alizoea kula viagra,sasa demu anajikuta muda mwingine anataka japo cha hamu cha kushtukiza mshikaji akawa hawezi maana ashapoteza kujiamini kwa kutegemea maviagra,so na pombe nayo ni hivyo hivyo tu,japo kama mmelewa kiasi wote wawili sex inakuwa very enjoyable aise
 
Labda kama mnataka msikumbuke mtakayofanya ili mje kusingizia ilikua bahati mbaya...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom