Pombe na tendo la ngono

CHIBA One

JF-Expert Member
Nov 16, 2018
560
2,087
Siku ya Jana nikiwa na Rafiki Yangu mmoja wa kike, tukipiga stori za hapa na pale, Baadae tukafikia kwenye swala la mapenzi, Akaniambia yeye na Jamaa ake Ili wagegedane vizuri na kwa raha ambazo sio za kawaida basi huwa wanachapa ulaji kwanza kabla ya Mgegedano!!

Huyu amekuwa mwanamke wa tatu kuongea jambo kama hili... Kwa uzoefu wako Pombe ina chachu gani katika kunogesha hilo tendo pendwa?

N. B wapiga puli mkutane ukumbi wa Nkurumah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pombe haina nafasi yeyote ktk mapnz Bali ni KUTAKA KUCHANGAMKA tu...Mimi Nina GIRL wngu Fulani,,,siku akija kunitembelea lazima aje na WINE aina ya DOMPO na KONYAGI...nikishaona hivyo najuwa Leo SITOLALA...kwahyo ni hali Fulani ya kuchangamka tu mkuu,,,

na ndiyo maana tunasemaga ogopa mwanamke anayependa kunywa mipombe,huyo ana asilimia kubwa sana kuliwa ,hata kama siyo mpenzi wako,maadamu ni mwanaume na uko naye karibu mzee una uhakika wa kuula mzigo...pombe nayo ni kikokotoo tu kama vingine
 
Pombe haina nafasi yeyote ktk mapnz Bali ni KUTAKA KUCHANGAMKA tu...Mimi Nina GIRL wngu Fulani,,,siku akija kunitembelea lazima aje na WINE aina ya DOMPO na KONYAGI...nikishaona hivyo najuwa Leo SITOLALA...kwahyo ni hali Fulani ya kuchangamka tu mkuu,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah huyo demu wako wa hkweli ...yaani dombo anakuja nayo mwenyewe....mwana gonga show ya maana.
 
Back
Top Bottom