Kosa la kiufund lilianzia hapo kwenye Konyagi. Na pengne ulichanganya na Bia baadae. Na pia ulikunywa vyote hivyo wakat tumbon pako empty.
Kwahiyo mwili ukawa hauna nguvu, akili ikapoteza umakini na nyege ndio sasa ikashika hatamu. ππππ. Ni balaa sana hii.
Mm nilishajiamulia miaka 15+ huko nyuma kuwa bora ninywe vibia havileweshi kwa haraka na nikamaliza 20k taratibu mwenyewe tena mdogo mdogo na nisilewe sana ila akili ikawepo na muda nikiamua kunyanyuka bar nanyanyuka na asubuh naamka mwepesi kabisa.
Kuliko kunywa Kvant/konyag kwa buku 10 useme unabana matumizi alaf baada ya lisaa 1 unapoteza umakin unaanza kununulia bia watu usiowajua na kununulia wahudumu chakula ππππ. Na kuomba namba za simu na Jagina.