pombe na nyege vimeniponza


Kosa la kiufund lilianzia hapo kwenye Konyagi. Na pengne ulichanganya na Bia baadae. Na pia ulikunywa vyote hivyo wakat tumbon pako empty.

Kwahiyo mwili ukawa hauna nguvu, akili ikapoteza umakini na nyege ndio sasa ikashika hatamu. 😊😊😊😊. Ni balaa sana hii.

Mm nilishajiamulia miaka 15+ huko nyuma kuwa bora ninywe vibia havileweshi kwa haraka na nikamaliza 20k taratibu mwenyewe tena mdogo mdogo na nisilewe sana ila akili ikawepo na muda nikiamua kunyanyuka bar nanyanyuka na asubuh naamka mwepesi kabisa.

Kuliko kunywa Kvant/konyag kwa buku 10 useme unabana matumizi alaf baada ya lisaa 1 unapoteza umakin unaanza kununulia bia watu usiowajua na kununulia wahudumu chakula 😊😊😊😊. Na kuomba namba za simu na Jagina.
 
Itoroke tu hiyo mbususu.
Ivizie imeingia kuoga,wewe tambaa
 
Zamani niliandika humu wanywa pombe huku kikwetu kwetu wengi wao sio walevi bali malaya.

Good morning…
HIvi huwa unalala kweli saa kumi yote hiyo ulikuwa macho?

Hakika kikwetu wamatumbi hulewa kote kote kichwani na chini pia.
 
Coffee plant in liquid form.
 
Hivi? Pombe na nyege ni ndugu
Sio ndugu kabisa , ukiona akinywa anafanya umalaya jua ni tabia yake tu, akinywa pombe ndio anapata ujasiri wa kuifanya kwa urahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…