Pombe na mastaa wa bongo

Pombe na mastaa wa bongo

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Aina hii ya mastaa eti ndo picha aya jamii.
 
Attachments

  • kaaaaaaaaaaaazii kweli.jpg
    kaaaaaaaaaaaazii kweli.jpg
    26.6 KB · Views: 1,529
  • KAAAAAAZ 222222222222.jpg
    KAAAAAAZ 222222222222.jpg
    35.7 KB · Views: 1,480
Lazima atakuwa kwenye Bongo movies...kule akina UWOYA & CO wanaposhindana kuonyesha mapaja!
 
Looks like amepozi...nguo ile ile (means ni siku hiyo hiyo)..lakini bia brand tofauti! Ya kutengeneza hii...watu wanatafuta umaarufu hapa!
 
POMBE SIYO CHAI,KACHANGANYA ZAKE POMBE THEN ZIMEMKAMATA KISAWASAWA!!!Caslte lite+serengeti=!!!!!!!???????
 
Wadau wanasema hii pic ni kwa ajili ya promo maana kalewa juu ana chupa ya kijani(kwenye meza) ndani ya gari(ana chupa rangi ya mende) huyu atakua wa bongo movie,continuity imewashinda,jaman njaa mbaya unajipakazia mlevi ili mradi utafute promo uuze kazi zako khaaaa
 
Kuna matumizi mabaya ya neno star.
OTIS
 
Si ndo kale kabinti kwenye video ya akunaga ya suma lee....skuiz nae anaitwa star...bac bado mm tu hapa mjini kuitwa star kwa speed hii
 
Wadau wanasema hii pic ni kwa ajili ya promo maana kalewa juu ana chupa ya kijani(kwenye meza) ndani ya gari(ana chupa rangi ya mende) huyu atakua wa bongo movie,continuity imewashinda,jaman njaa mbaya unajipakazia mlevi ili mradi utafute promo uuze kazi zako khaaaa

exactly, anatafuta umaarufu wa kijinga hata hizo pozi ni fake siunamwona anacheka
 
Angekuwa star tungekuwa tunamfaham so yuko ki promo zaidi
 
kwani huyu ni nani aisee.. my brain can't find file server failed!
 
Si ndo kale kabinti kwenye video ya akunaga ya suma lee....skuiz nae anaitwa star...bac bado mm tu hapa mjini kuitwa star kwa speed hii

Nahisi hivo hata kwenye gazeti la ijumaa nimeona picha hizi.
 
Back
Top Bottom