Pombe na mabinti wa kichaga

kule kwetu zamani mtoto akili Lia anapewa pombe alale
 
Sisi home Rombo way back nakumbuka nipo primary school mshua akinunua bia lazma aniekee kdg kwny kikombe nikawa nawaza kichwani kuwa siku lazma ninywe chupa nzima kama yeye...

Ndio ikawa hvo
 
Yani bia wagonge wao kuumwa uumwe wewe?

Usipokuwa makini hata wakitiwa mimba mtoto tumboni utabeba wewe.
 
Duh!!!
 
Kuna kunywa na kugigida! Ila manzi anaye kunywa raha sana aisee! Hata siezi elezea hapa.
 
Nimedoma darasa la kwanza Hadi la Saba, ninavyorudi kula mchana, mama alikuwa ananiwekea chupa ya Ulanzi na chakula. Nakula ugali nashushia na Ulanzi mtogwa narudi Shule. Mara nyingine nakunywa na wa kwenye mtungi pia, kwa mrija.

Sioni Cha ajabu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…