Pombe, Kitimoto na mademu.

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,055
Mi naona vyote vitamu sana, vyenye ladha tofauti sana.
Tena navipenda sana na kuvitumia sana.
Leo kaja kiongozi mmoja wa dini ananiambia niachane navyo, eti ni anasa.
Jamani anasa gani kula, kunywa na kuburudisha mwili?
 
Ana sababu zake ndo maana na wewe ungekaa umuulize ni kwa nini amekuambia uachane navyo
 
Anakuzingua, Ngwea anakwambia MIKASI, MITUNGI NA PAMBA.. Kula raha ndugu yangu, mi nachonga jeneza huku!
 
Gagurito kweli wewe balaa. Aendelee nazo wakati unamchongea jeneza eti. Duh mkuu akili kumkichwa au zile za kwako changanya na za kuambiwa.
 
Gagurito kweli wewe balaa. Aendelee nazo wakati unamchongea jeneza eti. Duh mkuu akili kumkichwa au zile za kwako changanya na za kuambiwa.
teh! ukizubaa huna chako. Ndugu yetu mwanajamvi mbishi. teh! Shauri zake!
 
Ndo maana tunamwambia akili za kuambiwa achanganye na zake halafu aamue kwa nini kaambiwa hivyo
 
Anakaribisha jeneza kama hajajipanga na kujua ni nini anahitaji kufanya au kupata katika mambo yake hayo
 
sasa je wale waendesha bodaboda maarufu ka madereva toyo hapa jijini arusha wanaopaki huku mitaa ya mrina, picnic na shivers wao tuwashauri nini coz wao ni mirungi, fegi, ganja, jogoo a.k.a kiroba orijino afu wanashushia na mademu wale ma***a wa hapo afu wanakesha, hyo lyfstyle vipi? Ni mzuka au????
 
Hao ni balaa!
 
Wewe unakaribia kufariki au umejikana mwenyewe; kama mtu hauwezi kujijali mwenyewe je unaweza kujadili nini na kumjali nani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom