Pombe inaweza kuwa kisingizio cha ku cheat?

Pombe inaweza kuwa kisingizio cha ku cheat?

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Habari wapendanao.

Nimekuwa najiuliza maswa kuna watu wanasema "mi nikinywa Amarula au Redds au Whisky nakuwa na hamu hatari" ila sasa kinachofuata inakuwa kama boyfriend wake au girlfriend wako hayupo karibu ananyanyua kifaa kingine.

Hivi ni kweli au watu wanatumia kama kisingizio?
 
Habari wapendanao,

Nimekuwa najiuliza maswa kuna watu wanasema "mi nikinywa amarula au redis au whisky nakuwa na nyege hatari" ila sasa kinachofuata inakuwa kama boyfriend wake au girlfriend wako hayupo karibu ananyanyua kiafaa kingine

Hivi ni kweli au watu wanatumia kama kisingizio?

redis ndio dawa gan?
 
Jieleze ueleweke au darasa la saba
 
Hakuna ila mtu akinywa Kwa kunuia kucheat atafanya hvyo coz pombe itamwongezea courage tu....
 
wengine tukinywa hivyo viumbe ndo hatutaki hata vitukaribie.... ntachapa makofi mtu
 
Kuna wengine wakiwa na akili timamu wanapiga game hatari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom