Polycarp Kardinali Pengo kujiuzulu ndani ya miezi 22 ijayo

Usianzishe uzi kudanganya watu,unajua maana ya kujiuzuru(resign)?,labda tuanzie hapo,hakuna sheria ya shirika,chama,taasisi yoyote duniani inayosema mtu akifika umri fulani ajiuzuru,hii haihitaji uwe RC kujua hilo.Mara zote kujiuzuru kunatokana na sababu iliyo NEGATIVE either kwa kushinikizwa au maamuzi binafsi,pili ingia Wikipedia angalia mfumo unaotumika RC,u kardinali mtu anakufa nao,uaskofu ndo mtu anastaafu akifika umri fulani,ndo maana hata Rugambwa alikufa bado anaitwa Kardinali ingawa alikuwa mzee sana,usipotoshe hapa.


Kwa hiyo wewe unajua zaidi Kiingereza klk Kiswahili?
 
Barikiwa sana mura
Afadhali wewe mura sasa hili lijamaa lenyewe linanilazimisha nichangie tu hata kama sijui maana ya hicho cheo,sasa nimetambua

Ninayajua yote hayo aliyokujibu huyo Mura na mimi nilikataa kukujibu kwa sababu huna adabu. NImeanzisha thread inayohusu kujiuzulu uaskofu wewe unaleta mambo ya ukardinali. Kuwa na akili au adabu siku nyingi tukupe elimu.

Kama hujui maana ya jambo lolote kaa kimya wanaume wanaojua waseme.

Nielezee maana ya kadinali usizunguke mbuyu mnapoanzisha mada muwe mmejiandaa kujibu hoja na maswali mnayokutana nayo,usilete uimla hapa jamii forum jibu hoja

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Askofu wa Kanisa Katoliki akifikikisha umri wa miaka 75 analazimika kuandika barua ya kujiuzulu (resignation) kwa Papa.

Polycarp Kardinali Pengo anafikisha umri wa miaka 75 mnamo August 5, 2019, yaani miezi 22 tu ijayo.
For that case, August 6, 2019 nitaanza tena kwenda kanisani, maana sitakuwa na dawaa
 
Mmhh mkuu balozi wa papa si anayechagua askofu wa mahalia,na kwa sababu dar ni jimbo kuu tegemea askofu kutoka jimbo jingine lolote la tanzania kupandishwa daraja na kuwa askofu mkuu kisha kuhamishiwa jimbo la dar

Ukisema hivyo maana yake padri wa Mwanza asitarajie hata siku moja kuwa askofu wa Mwanza kwa sababu Mwanza ni archdiocese. Vivyo hivyo padri wa Tabora, Dodoma, Arusha, D'slaam na Songea.

Najua ni mazeoa. Lakini vilevile ukumbuke kwamba askofu Marco Mihayo alitokea moja kwa moja kwenye upadri wa Tabora na kuwa Archbishop wa Tabora.

Vilevile jimbo la Harare nchini Zimbabwe alipojiuzulu askofu Ncube, askofu aliyefuata alikuwa padri na akaenda moja kwa moja. Hakuna kanuni maalum ingawa tumezoea kuona hivyo.
 
Siyo laxima askofu anayefuata akawa cardinal maana cardinal siyo cheo rasmi ndani ya kanisa,kuna walei ni makadinali na kuna mapadre ni makadinali siyo lazima awe askofu tu

Thread niliyoleta haihusiani na ukardinali.
 
Hapana, ukiwa kardinali radhma ukakae makao makuu ya nchi ki kanisa kwa tanzania ni Daresaalamna radhma uwe askofu mkuu wa jimbokuu hilo ki sheria kardinali razima akae jimbo kuu la kitaifa.

Karinali Rugambwa alipata ukardinali akiwa jimbo la Rutabo. Hakuna sheria inayosema hivyo unavyosema.
 
Ukisema hivyo maana yake padri wa Mwanza asitarajie hata siku moja kuwa askofu wa Mwanza kwa sababu Mwanza ni archdiocese. Vivyo hivyo padri wa Tabora, Dodoma, Arusha, D'slaam na Songea.

Najua ni mazeoa. Lakini vilevile ukumbuke kwamba askofu Marco Mihayo alitokea moja kwa moja kwenye upadri wa Tabora na kuwa Archbishop wa Tabora.

Vilevile jimbo la Harare nchini Zimbabwe alipojiuzulu askofu Ncube, askofu aliyefuata alikuwa padri na akaenda moja kwa moja. Hakuna kanuni maalum ingawa tumezoea kuona hivyo.
Nakubaliana na kauli yako kwa namna moja lakini very rare padri kupata uaskofu na uaskofu mkuu directly ndio kwanza nasikia kwako,kuhusu uaskofu mkuu sijasema mapadri wa dar hawawezi kuu pata uaskofu mkuu wanaweza upata kama tayari washapata uaskofu,umetokea mfano songea ambao pia hawajapata askofu mkuu mzawa bado
 
Back
Top Bottom