Polycarp Cardinal Pengo azidi kutishiwa

Status
Not open for further replies.
Je, ni yale yaliyoingizwa nchini na CUF kama tulivyotahadharishwa na yule askari aliyestaafu siku wanamtandao walipochukua nchi akawaachia madaraka hawa wanaokuja mitandaoni kuchungulia kinachoandikwa?

Jibu linaweza likawa ndio
 
Jamani tuiombee nchi yetu iwe na amani. Lakini tukiisha sisi wao watafuata. Pia lazima nafsi zote sionje mauti. Kwa hivy0 wakristo wote tusiogope mtu anayeua mwili tu basi. Tutaifuata imani yetu na bwana wetu yesu kristo mpaka mwisho. Amina
 
Sasa watu 50 tu ndo wanaokutisha?
hivi ujui hata mmbuyu ulianza kama mchicha
tatizo ni kuwa wewe hujachukua tahadhari yoyote ya kujilinda. umeshindwa hata ku-organise club ya ukakamavu mtaani kwako. hata kwenye vikundi vya ulinzi shirikishi haupo.
naamini hizi ni hisia zako tu!
Sasa wewe hiyo akili ya kujilinda unaitumiaje? utaulizwa siku ya mwisho ujue!
nashukuru kwa ushauri wako mkuu

kwa nyongeza tu wewe unachukulia vita kimzaa mzaa sana, OK... mimi kilio changu kipo kwa kina mama na watoto kwani wao ndio wahanga wakubwa wa vita
 
Hivi kwa nini sehemu yoyote waliopo waislam panafukuta moshi ?

Hujui,waislam si mabubu,ni watu wa kuongea na wanapinga dhuluma.Bila kujali nani anayedhulumu lazima ataambiwa.Uislam ni dini ya haki,ndio maana watawala wanajitahidi kuipiga break kwani wengi wao wameshazoea kuiba.Katika uislam hakuna mambo ya kaisali.Msingi mkuu wa amani ni haki na usawa,kamwe propaganda hazina nafasi kwenye zama hizi.
 
When Mahmood Mamdani (2010) summed up the Rwandan genocide book 'when victims become killers' he cautioned you and me that when those who have never before killed, or take part in mass slaughter wake up to do so, everyone will be amazed and too late to heal the wounds. There was a disproportionate number of educated, leaders, doctors, nurses, judges, and so on who never thought of killing, but ended up killing masses of innocent people. Why? Because some thought that killing others was a national duty. If we continue like this, every Tanzanian may become a killer and no one will remain safe. Someone once said, 'When you want peace prepare for war' are we prepared for that? Threats may work for coward people, but action may prove fruitful. Do not wake a sleeping giant.
 
Hili dini limekuwa majanga kila kona wenye busara na elimu wanaona aibu kujitamburisha kuwa wao ni ...................na wengine wanajikuta wanaEDIT majina yao kutokana na madudu yanayofanywa na hii dini.
 
wanotoa kashfa na vitisho kwa dini nyingine serikali hii inawafahamu hakuna siri yoyote swala je ni kwa nini wachochezi hao wanaokashifu dini nyingine na kufanya wanavyotaka hawashughulikiwi?

Hata UN inakuwa hvhv kwa ile migogoro ya kimataifa na mwisho wa cku wanashabikia upande m1!
 
huu ni upuuzi, watz ni watu wa aman

We jidanganye tu ngoja uje usikie bomu limeripuka nyuma yako ndo utagundua hii nchi imeshaharibika.
viongozi wanatuficha tu ili kutonyanyua hisia za watu wanasema eti mara ugaidi,mara wahuni tu wale,ila jibu la ukweli ni kuwa WAISLAMU WENYE ITIKADI KALI WAPO KAZINI NA TUSUBIRI KUONA MENGI.
 
 

Israel ni taifa teule la Mungu...lakini hapa kwa imani zetu hatutakubaliana. Ila tuangalie historia kidogo. Katika majibizano yetu nimegundua unajua sana habari za Farao. Hivi tujiulize, iweje Mungu afungue bahari watu wapite na awaangamize maadai wanaowafukuza? (assumming that hapa hutakataa kwamba hili jambo limewahi kutokea duniani.)

Swala jingine, iweje basi kanchi kadogo kazungukwe na maadui north, south, east & west na adui wengi wanatoka kwenye nchi kubwa sana lakini mpaka leo hawawezi kupatana na kukashambulia hako ka nchi? Haya wewe unaona ni ya kawaida?

Umeseka wanategemea misaada kutoka Marekani. Kwani Tanzania tunapata misaada mingapi kutoka nje? mbona hadi wezi wanaotuibia tunashindwa kuwakamata? Sisi tunaweza kupigana vita na mtu yeyote?

Naomba uangalie hayo mwenzangu. Ila comment kwenye ukweli. Usiunge maneno. Ndio wamarekani wanisaidia Israel na hata rais wa huko akiapishwa lazima akubali kuisaidia lakini pia Marekani inasaidia nchi nyingine. Nyingi ni adui wa Israel. Hapo unasemaje?
 
Kigoma watoto wadogo wanafundishwa kareti na judo misikitini, vikiulizwa vinasema vinajiandaa kumpiga khafiri ambaye hata havijui yukoje. kwa stail hii cjui itakuwaje.
 
Serikali kiziwi siamini km kuna cku itakuja kuwa sikivu wkt.imejaa dhirima
 

Wanaitaji maombi hao.na Mwenyezi mungu awasamee bure.maana hawajui walitendalo
 
Serikali yetu ni reactive badala ya kuwa proactive katika kudhibiti matukio yanayovunja umoja na amani yetu. Haya ni matokeo ya udhaifu wa JK. Historia itamhukumu JK
 
Naamini idara za usalama simepata taarifa na zitafanyia kazi. Tanzania ni kisiwa cha amani, sidhani kama imebadilika.
 
Dini ya UPANGA (Kihistoria)

.......ni kweli kutokea zama za Mfalme Daudi, hata Mwenyezi Mungu alimjalia uwezo wa kutengeneza nguo za chuma.

'(Tukamwambia Daudi) Tengeneza nguo za chuma pana, kadiri sawa katika kuunganisha. Na tendeni mema. Hakika Mimi nayaona vyema mnayoyatenda.
Qur'an: 34:11.
 
Kigoma watoto wadogo wanafundishwa kareti na judo misikitini, vikiulizwa vinasema vinajiandaa kumpiga khafiri ambaye hata havijui yukoje. kwa stail hii cjui itakuwaje.

Wewe wasi wasi wako ni nini ? Kwani we Kafiri ?
 

Hata mie nashangaa iweje Taifa Teule la Mungu, linasaidiwa na Wamarekani badala ya Mungu !
Au Wamarekani wana kaimu nafasi ya mungu ?
Kama akili ni nywele, basi nina wasi wasi wewe ni kipara !
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…