Poll: Obama 2nd worst US president after Bush

maskini mkukuyu wa watu!

Nani alikudanganya kuwa ni Mkikuyu?

Acha kukariri wewe! Ile ni Jaluo bana au umesahau kwamba tulianza kumgombania kwamba bibi yake alitoka Tanzania? Hata hivyo potelea mbali hata kama atashindwa jamaa keshaandika historia ya kuwa Mmarekani wa kwanza mwenye asili ya Afrika kukaa Magogoni ya USA aliyemwangusha Mwamerika mzungu.
 
Hello Colleagues...

I know I am gonna hurt the feelings of some people.. whether you like to swallow this bitter pill or not... frankly speaking Obama is going to WIN... take it from me....
 
Jamaa mchakachuaji kweli. Tayari amewapa wazamiaji uwezo wa kuwa wamarekan hesabu hizo kura za wa hispanic na wazamiaji wengine wanao tegemea pia kupata. Ni zaidi ya kura m2 kwa wahusika na jamaa zao. Wana vyuo anawapangia mikopo myepesi na riba ndogo yaani ana wahonga. Huyu jamaa anampango wa kumtoa Biden kama makamu ambadilishe na hilary wanawake wote watarudi kwake kwa ajili mpango ni bi clinton agombee urais 2016. Sasa hesabu wafanya kazi wa viwanda vilivyo saidiwa kuto filisika. Hesabu wenye mortgage wanao saidiwa nyumba zao zisi uzwe na benki. Mpango wa obamacare ndio usiseme walala hoi wangapi amewanunua. Kuna uwezekano mkubwa sana huyu jamaa kurudi sabab anatumia mbinu za viongozi wa afrika kubaki madarakani. Wazungu watakoma. Mda wowote Romney atapatikana na kashfa kubwa kwamba kampuni zake za siri zina hisa kwenye nchi adui wa marekani hasa iran, atachoka mwenyewe. Nani kawaambia mwafrika anafaa.
 
Newsweek/The Beast ni conservative news outlets, na haota wasomani na hayo maoni ni ya watu wa mlengo wa kulia pia. Huwa najiuliza hivi Ronald Reagan aliifanyia nini cha maana USA? Kuivamia Grenada?
 
Wanaomuona Obama kama rais mbaya ndiyo wabaya. Mara hii tumesahau alivyoinyofoa Marekani kwenye uchafu wa Bush! Kweli wanadamu hawana wema. Obama tenda wema uondoke. Iisitoshe bado u kijana wakikutema unaenda kufundisha sheria chuo kikuu maana wewe si kihiyo kama wale madaktari wa kupewa. Republican wanapaswa waambiwe kuwa kama si wao na Bush Marekani isingegeuka kopakopa kwa China.
 


hii ni article ya 2009 lakini inahusu pia uchaguzi ujao

Debbie Menon – Can Obama escape the dominating influence of AIPAC and the American Jewish/Zionist Israeli lobby? | Sabbah Report
 
Safi sana I don't like Obama!

Obama alivyoanza kuomba birthday gift za watu au wedding eti to donate campaigh yake .nilishangazwa na I lost respect for him .it is all about himself me me me
 
You are a racist
 
Sio Mkikuyu ni Mjaluo......Odinga , Obama, Ominde, Obuya Ogoya etc etc.
 
Hello Colleagues...

I know I am gonna hurt the feelings of some people.. whether you like to swallow this bitter pill or not... frankly speaking Obama is going to WIN... take it from me....
Raise security of the Electronic Voting Machines otherwise Al gore get over system will be applied!
 
namkubali bush kinoma,kiboko ya saddam aliyekuwa kiboko ya watu wake wanao mpinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…