Poll: Obama 2nd worst US president after Bush | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Poll: Obama 2nd worst US president after Bush

Discussion in 'International Forum' started by KABAVAKO, Jul 9, 2012.

 1. KABAVAKO

  KABAVAKO JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  [​IMG]U.S. President Barack Obama
  In a poll conducted by Newsweek/The Beast, likely voters said Barack Obama is the second worst president in American history, coming in behind Richard Nixon and Jimmy Carter. George W. Bush came in last place, the Weekly Standard reported Tuesday.

  Likely voters were asked to list the two best and the two worst presidents in American history.

  Abraham Lincoln came in first place, while Ronald Reagan placed second.

  Franklin D. Roosevelt came in third, followed by John F. Kennedy and George Washington, who tied with Bill Clinton for fifth place.

  Thomas Jefferson, Teddy Roosevelt, Harry S. Truman and Dwight D. Eisenhower finished the list of the top ten.

  The ten worst presidents included Andrew Johnson, who was impeached in 1868 when he breached the Tenure of Office Act by removing Secretary of War Edwin Stanton from the cabinet. Johnson became President after Lincoln was assassinated.

  Warren G. Harding, Calvin Coolidge, Lyndon B. Johnson, Gerald Ford and Herbert Hoover also fell in the list of the ten worst presidents.

  George H.W. Bush, father of George W. Bush, came in at number 39, followed by Jimmy Carter and Richard Nixon.

  Barack Obama was listed as the 42nd worst President, beating only George W. Bush, who came in last place.

  Jeffrey H. Anderson noted that "there are only 43 (rather than 44) presidents because Grover Cleveland (who tied for 25th) was both our 22nd and 24th president." The Examiner.
  source: http://www.presstv.ir/usdetail/249523.html
   
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Amekwisha. nini zaidi? Ubaguzi? Uchumi? au?
   
 3. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Obama kwa kweli anapewa a smear cmpaign. Na tatizo la wazungu ni hilo maana ni mwafrika. Akifanya jambo jema anapata sifa chungu zima. Akitenda ovyo mpaka historia yake inakuwa traced kuwa babake ni mkenya na alitoka kenya (yaani ni mwafrika). Kuna mambo mengi mbovu zilzofanywa na uongozi wa Bush Obama amejaribu kurekebisha. lakini tuzingatie tuone mpaka kwenye primaries
   
 4. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Safi sana I don't like Obama!
   
 5. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tena ni shoga
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kila rais wa Marekani huwa anakosolewa vibaya sana. Sasa kwa nini kila akikosolewa Obama watu mnakimbilia kusema ni kwa sababu ya rangi yake?

  Sasa uchumi wa Marekani haufanyi vizuri. Ingawa Obama alirithi toka kwa Bush, hiyo haina maana kwamba watu wakimlaumu Obama basi ni kwa sababu ya rangi yake.

  Na mimi nimeshatabiri humu kuwa Obama akishindwa uchaguzi wa November watu mtalia ni kwa sababu ya ubaguzi tu na si kingine. Ila cha kushangaza aliposhinda uchaguzi wa 2008 tuhuma za ubaguzi dhidi ya wazungu sikuzisikia sana.

  Halafu nashangaa hata huo uchaguzi wa 2008 alishindaje hususan kwenye majimbo kama Indiana, Iowa, Minnesota, Illinois, Wisconsin, North Carolina na mengineyo kama kweli hao wazungu ni wabaguzi kiasi hicho. Inashangaza sana.

  *Halafu unazungumzia primaries gani wewe?*
   
 7. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mwaka wa uchaguzi huu! na bado kuanzia mwisho wa September vumbi litatimka haswa, mpaka sasa 95% ya wamarekani wamaisha amua watampiga nani kura Nov 6 unless something extraordinary happens to change their minds.

  Hizi report za kizushi ni kujifariji kwa wale walioamua kutompigia kura Obama Nov 6.
   
 8. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Halafu watu wanazungumzia rangi Bush aliyeshika nafasi ya mwisho nae ana asili ya nchi gani ya Afrika, hii sikwa sababu ya Obama mwafrika bali Obama Muamerika aliye na uongozi dhaifu! ni kama hapa nyumbani watu wakisema JK dhaifu kuna wadau wanasema eti anasakamwa kwa dini yake! I like American, when they want to call a spade they call it by its name! yes call a spade a spade!
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Yaani inashangaza sana. Sisi kuna watu weusi wameshaji-condition kuwa mzungu akikukosoa au asipokubaliana na wewe basi ni lazima itakuwa ni kwa ajili ya rangi ya ngozi yako! Geeeeeez
   
 10. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Samahani hapo kwenye primaries nilimaanisha uchaguzi ujao. mchanganyiko wa mawazo samahani. Najua kuwa wakati huu Obama hatachukua tena uongozi. Hata hiyo uchumi inaosemekana imekorogeka sio yeye bali aliuridhi meli iliyotoboka tayari kutoka msimu wa akina Bush. Ahadi zote alizowapa raia hakutekeleza. Rahisi sana tuhuma zilimbikiziwe kwake Obama na jamii yake kutoka afrika mashariki. Na hiyo ndio weakness ya mzungu. Ni miaka ngapi OBAMA amekuwa rais wa marekani karibu miaka kenda halafu ndio tuhuma za fodgery au illegal immigrant zinachipuka kutoka kwa vyombo vya habari. Wakati alikuwa akichukua uongozi, mbona haikutambulikana kuwa ana cheti bandia. Ndio kumanisha hata ile heshima waliokuwa nao mwanzo kwake sasa imetokomea. Hizi ndizo siasa za demokrasia!!

  Sekta ya afya ameiimarisha, Ukosefu wa kazi pia umepungua kwa asilimia kubwa na pia kuendelezwa kwa "OBAMA doctrine" yaani kaondoa majeshi afghanistan na kutumia vijindege kushambulia magaidi ndio kazi bora amefanya. Nao hii inaonekana a populist move na wadadisi wa siasa lakini naiunga mkono kwa sababu fulusi za raia zinatumika vizuri. Tatizo tu Obama anayo ni kuwa na uhusiano na Bara la Afrika.
   
 11. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #11
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  maskini mkukuyu wa watu!
   
 12. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,113
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280


  Kama ni ubaguzi asingechaguliwa toka awali. Tatizo ni kwamba hana vision ya uongozi, ni sawa na Kikwete tu.
   
 13. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,113
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280


  It's not true kwamba kila jema alifanyalo husifiwa na baya alifanyalo anahusishwa na where he's from. That's plain stupid and a filthy lie. These people are not stupid, evidences are there to back them up. Siyo kama huku kwetu, kila kitu kubahatisha na kutumia ubabe kuzima wasema ukweli. Yes, Bush did worse than Obama na ndiyo maana Obama is ahead of him in that poll. In short, huyu jamaa kachemsha.
   
 14. j

  jitu1 Senior Member

  #14
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 28, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hahaha..you guys don't know what you are talking about. He will be re-elected in November. Republicans have no bones to challenge him.

  Obama/Biden 2012
   
 15. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #15
  Jul 10, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Rais kuchukiwa akiwa madarakani ni kitu cha kawaida. Mnakumbuka Bush alivyokuwa madarakani ilikuwa hivyohivyo. Hata Kikwete Bongo akimaliza muda wake watu watammiss na kuanza kumshambulia aliye madarakani. Ndio maana kuna jamaa alisema democracy is a process of electing someone to blame.
   
 16. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Siku zote siwapendi Democratics. Akishindwa nitafurahi sana
   
 17. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kwenye ukweli si usemwe tu, haya mambo ya kujioona ukisemwa basi inakuwa nio kwa kuwa mweusi!!! Ukweli ni kwamaba vita kubwa aliyonayo Obama ni uchumi na job creation!

  Na siasa za marekani hazina mwenyewe, ukweli ni kuwa he has equal chances on re-election or not!!
   
 18. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,390
  Likes Received: 6,572
  Trophy Points: 280
  Kuna jamaa zangu huko wabongo wanalalamika Obama aibu tupu sawa na JK tu...so sioni ajabu akishindwa, ila ni mzungumzaji mzuri ndio maana alishinda uchaguzi after that..disaster..
   
 19. brazakaka

  brazakaka Senior Member

  #19
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Obama atashinda kwa vile mpinzani wake si eloquent kama yeye. Otherwise urais wake hajautendea haki.
   
 20. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Wewe msokile, Obama sio mkikuyu ni OGWAMBO "JALUO"!!
   
Loading...