kiporo kiwe na kisamvu kilicholala na chenyewe!dah af ukipige usawa wa saa tano hivi!ah huamki hapo ulipokaa!tena ukitaka ukifaiid ukae chini kabisa ,manake kiporo utakulaje mezani eti na table mat juu?kasema nani!kiporo raha yake ushushie na maji sio juice delamonte!
sipati picha nakukuta SW umekaa chini unafakamia kiporo tena kwenye chungu kina masizi balaah!
View attachment 66134 nikishapata hii ndo naweza fanya kazi bara bara hadi saa kumi na moja bila kusinzia. Hii ndo braeakfast yangu kila jumatatu
Ndo mana umenenepa hvo.
Siri nishaijua.
Kiporo cha Ubwabwa wa maharage!!
muhogo mpango mzimaChapati
kiporo
vitumbua
andazi
kisheti
kababu
ugali............n.k
wacha kabisa hakitakuwa chungu chenye masizi ila dah ntakuwa nimepiga kanga usawa wa kifua hivi na nyingine kiunoni af nimekaa kwenye mkeka chini ya mwa40,yani nikitoka hapo lazima nipige usingizi.kiporo bana ni kitamua kha!no wonder hiki kitambi hakipungui ahahahhahahhahahhahhahhahah
Huniambii lolote kuhusu Kiporo,
hasa kiwe ni Ubwabwa na Kisamvu kilichopikwa kwa Nazi.
Mama yangu weeee!!!!
Unakula mpaka unajisikia aibu.
una maana unakula kitumbua kimoja tu au kitumbua cha nyama.
hapa umenena wangu...kitamu balaaaa
:tape2::tape2::A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee:
mara nyingi huwa naingia humu asubuhi halafu ninapoteza sana muda jamii photo,jumapili huwa sitembelai jamvi kabisa msalimie madam b.halafu ni kweli unapenda kiporo kuliko kipongo.Hvi ulipewa :ban: mbona hujaonekana mda mrefu?
Me si Mzaramo lakini napenda Kiporo kuliko ninavyopenda wanaume.
Kuna ile aibu yaani unakula halafu hushibi.
viazi vitamu