lendila JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 5,805 Reaction score 4,374 Jul 11, 2015 #21 Dr slaa
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,708 Jul 11, 2015 #22 JK kafanya kosa kubwaaaaaaaa la kuua CCM... yaani Membe hata 1% ya Dr. Slaa hapati... Lowassa ndio chaguo sahihi... Dr. Slaaa kila la kheri baba, kura zoooote zakooo
JK kafanya kosa kubwaaaaaaaa la kuua CCM... yaani Membe hata 1% ya Dr. Slaa hapati... Lowassa ndio chaguo sahihi... Dr. Slaaa kila la kheri baba, kura zoooote zakooo
The Businessman JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 7,397 Reaction score 9,263 Jul 11, 2015 #23 meningitis said: Atatokea 3 bora amini usiamini Click to expand... Umeiona hiyi Tano bora au unaandika tu? Mako na ukoo wake walishafungasha toka jana jioni na kuanza Safari ya kurudi kijijini Butiama. Hapa Dr Slaa tu.
meningitis said: Atatokea 3 bora amini usiamini Click to expand... Umeiona hiyi Tano bora au unaandika tu? Mako na ukoo wake walishafungasha toka jana jioni na kuanza Safari ya kurudi kijijini Butiama. Hapa Dr Slaa tu.
shansarie JF-Expert Member Joined May 25, 2013 Posts 5,690 Reaction score 3,370 Jul 11, 2015 #24 Am so happy lowasa is out
YESSSS JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 279 Reaction score 27 Jul 11, 2015 #25 Dr slaa ajiandae kuapishwa tu. Huyu ndugu wa karibu na jk hana ubavu wakushindana na ukawa wameliwa hapo
Dr slaa ajiandae kuapishwa tu. Huyu ndugu wa karibu na jk hana ubavu wakushindana na ukawa wameliwa hapo
Donyongijape JF-Expert Member Joined May 28, 2010 Posts 1,497 Reaction score 814 Jul 11, 2015 #26 Kiherehere cha nini?. si msubiri huo mkutano mkuu