al-bauly
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 343
- 108
Kuanzia leo tutakuwa tukileta misemo mashuhuri ya wanasiasa wetu kwa mwaka huu wa uchaguzi 2015.
Weka msemo au misemo ilokuvutia hapo chini wakati wa ku comment.
"NASHANGAA PEMBE ZA TEMBO ZINASAFIRISHWA NCHINI KUPITIA UWANJA WA NDEGE, NASHANGAA SANA"- DR. JOHN. P. MAGUFULI.
"UKIENDA KUPIGA KURA TAREHE 25 JIULIZE, JANA NIMEMPELEKA MKE WANGU MJAA MZITO HOSPITALI NIKAAMBIWA NIPELEKE KIWEMBE NA SUFURIA, JE NASTAHIL HAYA" - JUMA HAJI DUNI.
Endeleza hapo chini mimi nimeanza na hiyo iloniingia akilini, ntakuwa naleta na ntakuwa makini kusikiliza hotuba.