notradamme
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,009
- 453
Wakati vita ya pili ya dunia WW2 ikielekea ukingoni,wakati mji wa Berlin ukiwa umezungukwa kwa nyuzi 360,viongozi wa mataifa matatu yenye nguvu kubwa za kijeshi ya USA,USSR na ENGLAND walikutana Tehran kuamua hatma ya vita na dunia kwa ujumla.Ikumbukwe tu kwamba wakati huu RED ARMY ya USSR ikiwa na takriban askari 6.4 million walikuwa wameizunguka Berlin kutokea mashariki,kusini mashariki na kaskazini mashariki huku ALLIED FORCES chini ya England wakiwa na takriban askari 10 million walikuwa wameuzingira mji wa Berlin toka upande wa magharibi,kusini magharibi na kaskazini magharibi.
kikao chao kilitoka na maazimio mengi ila azimio kuu lilikuwa ni ''TOTAL DESTRUCTION IS THE ONLY SOLUTION''..
Ujumbe wa kwanza kuhusu azimio hili ulitakiwa kupelekwa kwa JAPAN. ikumbukwe kuwa, Japan ilikuwa ndio yenye nguvu kubwa sana za kijeshi miongoni mwa mataifa yaliyokuwa yanamuunga mkono HITLER. Pamoja na kumiliki miongoni mwa majeshi ya kisasa kabisa kwa kipindi hicho, jeshi la japani lilikuwa na technolojia ya hali ya juu katika jeshi la anga na majini. walizizamisha meli za kivita za washirika kwa mamia na wakiziangusha ndege za kivita za washirika kwa mamia(hapa ndipo THE TALE OF BERMUDA TRIANGLE ilipoanzia).
kikao cha TEHRAN baina ya ROOSEVELT(US PRESIDENT),SIR WINSTON CHURCHILL(ENGLAND PM) AND STALIN(USSR PRESIDENT) kiliamua kwa kauli moja kuimaliza vita kuu ya pili ya dunia kikatili. ili kuepusha muendelezo wa umwagaji damu katika maeneo mbalimbali ya dunia.
ujumbe ulitumwa Japan kupitia miji ya HIROSHIMA na NAGASAKI.. Atomic bombs yaliyopewa majina ya little boys yaliangushwa katika hiyo miji miwili na madhara yake yakamfanya JAPAN kutangaza kushindwa siku hiyohiyo. ujumbe wa mwisho ulielekezwa BERLIN.........
katika kile kilichojulikana kama THE RACE TO BERLIN, majeshi ya washirika yalipewa amri ya kutobakiza jengo wala mtu(TOTAL DESTRUCTION) na mpaka berlin inagawanywa(east Berlin/west Berlin) hapakuwa na jengo hata moja katika ule mji mashuhuri lililokuwa limesima. mji mzima ulikuwa ni vifusi,vumbi na maiti za watu.
tukiachana na ulaya, hapa jirani zetu WA KENYA, walishapata kuendesha eperation ya kutokomeza ujangili. nakumbuka ilikuwa ni miaka ya mwanzoni kabisa ya 1990. raisi wa wakati huo DANIEL ARAP MOI alitangaza hali ya hatari katika mapori yote ya hifadhi katika kenya. operation ililenga kutokomeza ujangili KUANZIA kwa VIFARANGA HADI MAMA ZAO.ILIFANYIKA KWA UKATILI MKUBWA,WATU WENGI WALIUWAWA na mamia kubakwa. lakini mwishowe wenzetu wale walifanikiwa na swala la ujangili kenya imebaki hadithi.wanaharakati waliambiwa WAZIWAZI...'''' harakati zenu kazifanyieni kwingine kwani hapa tunapigania mustakabali wa nchi na vizazi vijavyo""" wengi wao walielewa na wachache waliokaidi basi mkono wa dola uliwashukia kwa herufi kubwa.HAWA NAO WALITUMIA MBINU YA '''total destruction is the only solution'''
SAKATA LA OPERATION TOKOMEZA UJANGILI.
tumeona, tumesikia na kushuhudia kelele na mbwembwe za WAHESHIMIWA WABUNGE dhidi ya operation husika.tumeruhusu wanasiasa kuleta siasa na kuathiri utendaji na madhumuni ya mkakati. na mwishowe!! wale waliokuwa mstari wa mbele kutimiza malengo ya operation WAMECHINJIWA BAHARINI. Hii inaleta maana gani!! jibu ni kwamba UJANGILI umeshinda dhidi ya dola na ujangili unakingiwa kifua na wanasiasa.labda niwe wazi kwa kutokuunga mkono mauaji au manyanyaso dhidi ya wananchi. lakini je hivi ni kweli hatujui haya yafuatayo!!!!????.....
1. kwamba majangili ni watu kama sisi na hakuna alama special itakayokutambulish akuwa huyu ni jangili????
2.ni nani asiyefahamu kuwa UJANGILI ni mtandao mpana unaohusisha watu wa kada mbalimbali huku kila kada ikiwa na majukumu mahsusi kwa ajili ya kufanikisha dhana nzima ya ujangili?????
3.kwani ni nani asiyejua kuwa vyakula,silaha,nyara(pembe,ngozi,meno na nyama) huhifadhiwa katika vijiji vya pembezoni mwa mbuga pindi uharamia huo unapokuwa umeshafanyika huko mbugani.
4. mbona kuna ushahidi kuwa kuna wanasiasa hususan wabunge WAKO NA USHIRIKA WA KARIBU SANA na majangili kwa minajili ya kujipatia fedha na hadhi kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi 2015???
5. kwa nini baadhi ya wabunge CCM wamekuwa wakali sana katika hili la ujangili kama vile ndio uovu wa kwanza kufanywa na serikali tangu uhuru(kuna nini hapa ndani)...
6. Ni nai kati yetu anayeweza kutueleza exactly NI nini kilichokuwa kichwani mwa KHAMIS KAGASHEKI wakati anatangaza kujiuzulu(alikuwa anatamani kulia na sio kujililia yeye bali kuwalilia wanyama pori wetu)....
haya ni maswali magumu ambyo majibu yake ni mepesi sana.
MAJANGILI YANAFUNGUA champaigne na kujipongeza kutokana na kufanikiwa mkakati wao.wazungu wanasema''''' IF YOU WANT TO KILL A DOG,,CALL IT A BAD NAME'''
kwa ujumla wamefanikiwa kuipaka matope operation,wameipa operation jina baya na mwishowe wameiua. mtandao wa kihalifu na kifisadi katika nchi hii ni mkubwa na wa ajabu sana. wanasiasa wa kambi zoote za vyama wameungana dhidi ya wananchi. wantulaghai ili tuwapigie makofi kwa maovu wanayotufanyia.HIVI MCHUNGAJI MSIGWA KUWA KWENYE PAY ROLL YA MOJA KATI YA MAKAMPUNI YA UWINDAJI ANAYOYAPIGIA KIFUA BUNGENI HUKU YEYE AKIWA NI WAZIRI KIVULI WA KAMBI YAKE SIO USALITI????HIVI MSAIDIZI WA WAZIRI LUKUVI KUJIHUSISHA NA UJANGILI HUKU AKITUMIA KINGA YA CHEO CHA LUKUVI NAO SIO USALITI???
hivi kupigwa vita waziwazi kwa operation tokomeza ujangili na kuwadhalilisha mawaziri waliokuwa mstari wa mbele kwenye operation hiyo ni dalili ya nini hii!!!!!!???
naona yafuatayo..
.naona mwisho wa tembo na wanyama wengine katika mbuga zetu
.naona 2015 kama mwisho wa dunia kwa baadhi ya wanasiasa wetu,kwao wao 2015 ni kufa au kupona
.naona muungano wa kimaslahi baina ya viongozi wa kisiasa dhidi ya wananchi na rasilimali zao.
.naona heshima ya MAJANGILI miongoni mwa raia ikipanda maradufu kama ilivyo heshima ya wazungu wa unga
.naona kampeni za vyama vyote katika ngazi zote kwa mwaka 2015 zikigharamiwa na fedha iliyotokana na ujangili.
.NAONA DHANA YA ''JANGILI NI YULE ALIYEKUTWA NA BUNDUKI PORINI''ikishinikizwa na kuaminishwa kwa nguvu vichwani mwetu huku wanunuzi,wafanyabiashara, wapanga mipango,wahifadhi nyara na wanaohifadhi wawindaji majumbani mwao wakisafishwa kwa sabuni ya ''''WANANCHI WASIO NA HATIA''''!!!!!!
HUU NI USALITI
Ukiangalia kwa umakini mkubwa jinsi mambo yanavyoendelea bungeni na ndani ya vyama vyetu vya siasa, unapata jibu moja tu... nalo ni kwamba'''''TUMESALITIWA''' na wale waliostahili kutuongoza kuelekea katika nchi ya ahadi.mapinduzi ya kijamii yanahitajika sasa na sio wakati mwingine. pale nguvu ovu inapotaka kuielemea nguvu ya haki, hatuna budi kufanya mapinduzi makubwa. sio mapinduzi ya kuwategemea wanasiasa laa bali ni nguvu ya kuwaondoa waovu miongoni mwetu(tunapoishi na tunamofanyia kazi).
muda wa kuwathamini na kuwatukuza wale wenye fedha huku tukijua kuwa fedha zao zinanuka damu ya watoto wetu umepita,hatuna haja ya kuwanyenyekea walio miongoni mwetu hali tukijua wao ni majambazi,wazungu wa unga,wabadhirifu wa mali ya umma,mafisadi nk.
tuanze leo na kujiepusha na ofa za kitimoto na bia na kila tupatapo muda tuwaambia wanasiasa wetu kuwa MMETUSALITI NA TUNALIJUA HILO..
TUKIBAKI KUWA WAPIGA MAKOFI NA VIGELEGELE!!!!!!! basi watoto wetu watakuja kufukua nmakaburi yetu na mifupa yetu itasimamishwa kizimbani.
binafsi nimeanza kuutekeleza mkakati wa kupambana na wasaliti miongoni mwa wanaonizunguka(thoug haileti athari yoyote). join me for the sake of our nation