POLITICAL BATTLE MAP: POLEPOLE vs Samia, wanamtandao na wahuni.



AI INA RAHISISHA SANA UANDISHI SIKU HIZI. HUU MWANDIKO WA CHATGPT KABISA.
 
THE FALL OF CCM 1995-2025.✍️📌
 
!Hata ww uliyesomea literature pia ni mchambuzi wa siasa?Acha kutudanganya ndugu!
 
Kazi yako ni kutoa Fikra, idea, kuedit, na kuleta muunganiko wa matukio halisi. Kwisha

Kabisa CHATGPT inaandika kila kitu unakuwa na kazi ndogo sana. Vijana wengi hawajajua jinsi ya kuitumia. Hongera nmefurahi wewe unaijua na unaitumia. Safi sana.
 
Ukiangalia kete zinavyosogezwa Moja Kwa Moja kingi itakayoingia ni Moja ambaye ni Samia.
Hakuna uwezekano wa kete zingine kuingia kingi. Huo uwezekano haupo kulingana na mchezo wa draft uliopo.
Inawezekana ikawa hivyo. Ziko namna nyingi za kumwambia huyu kuwa, si wewe, sikukutaka wewe...

Mfano, ktk uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 mjadala ulikuwa kama hivi isipokuwa ktk sura tofauti kidogo. Jiwe alipigwa spana na vita kwelikweli, kiasi cha vita toka ndani ya chama chake lakini vita kubwa ikitoka nje ya chama....

Nje ya chama chake, CHADEMA na Tundu lissu alimpelekesha kweli na duru zinaonesha kuwa kwenye sanduku la kura hakushinda, alipigwa vibaya sana na Msingida ila alitangazwa tu...

Ushahidi hakupata kura hizo zilizotangazwa, ni kuwa mpaka leo hii matokeo ya kura za u - Rais ktk uchaguzi ule wa 2020 jimbo kwa jimbo hayajachapishwa mpaka leo ktk tovuti na gazeti la serikali kwa verification kama sheria inavyotaka...!!

Sababu ni kuwa, yale ya jumla yaliyotangazwa na kutumiwa kumtangaza mshindi ni matokeo feki, ya kubumba. Duru za ndani zinadokeza kuwa, CCM na Magufuli kwenye kura ya u - Rais 2020 hakuvuka 35% ya kura zote Tanzania nzima...!!

Kwa hiyo, anaweza kufika king, lakini akakalia kiti kwa siku mbili au tatu, nature ikaamua vinginevyo kama ilivyotokea 2021 kwa Magufuli aliyejiapatia u - Rais kwa dhuluma...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…