Polisi zuieni bodaboda kufunga honi za malori

Polisi zuieni bodaboda kufunga honi za malori

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,831
Hivi karibuni kumekua na tabia ya bodaboda kufunga honi kubwa kama za malori na mbaya zaidi wanapiga honi hovyohovyo na kusababisha adha kubwa ambazo zinaweza pelekea ajali.

Naomba jeshi la polisi lisifumbie macho hili swala maana lisipodhibitiwa mapema bodaboda zote watafunga sababu akili zao zinafanana.
 
Kangi lugolA anasemaje kuhusu hilo jambo

yess BiShoo haswaaAaa
 
Wakiweka za malori, we weka za Trekta, dawa ya moto, moto tu.
 
mkuu bodaboda wapo kwenye sayar yao maana
1.Anaweza kuweka hazard indicator safari yote
2. kuwasha indicator safari yote
3. kukatiza ghafla nyuma, mbrle, ubavu mwako
4. kuchubua rangi
5.kuginga site mirror
6. kugonga bampa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom