Sir Kite 2
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 552
- 316
wapuuzi kabisa mnashindwa kumlaumu DJ wenu aliyewadanganya kuandamana mnalaumu polisi.Polisi wamefunzwa kutumia silaha na nguvu Kama mnataka kubembelezwa nendeni msikitini au kanisani.
Uhuni upi?! ElewekaMbowe asingeleta uhuni wake wa kuvunja sheria huyo binti angeuawa?
Akimaliza uchaguzi ndo atashughulikiaYaani anadai yupo busy na uchaguzi anasahau kuna mtu kapigwa risasi ..
Ndio akili za makamanda wetu ueledi jeshi la polisi uliondoka na igp said mwema
Hata ukieleweshwa hautaelewa.Uhuni upi?! Eleweka
Kwa sababu hujiwezi na huna sababu. Ccm iliua elimu ikaua na vichwa vya watu!! [emoji85] [emoji40]Hata ukieleweshwa hautaelewa.
Mbowe ndiyebaliyempiga risasi huyo mwanafunzi.Mbowe kila siku anapenda kusababisha mauaji wa watu kwa maandamano yasiyo na tija
Nani atadaiwa na nani wa kulipa.... ?Damu hiyo iliyomwagwa Jana,, na kuua itadaiwa juu yao na vizazi vyao.
Wewe ndo mpuuzi wa mwisho. Polisi wamekiri halafu wewe unakanushaHakuna mtu aliyekufa jana mkuu huo ni uzushi wa wana ufipa.
nawewe naye kwa akili yako unaona huyo uliye mtaja Ana roho ya utu? mambo kama hayo ndiyo yanayo upa moyo wake faraja iliyo kuu.Tatizo Magufuli anakuwa kama yuko mbinguni haoni kinachotokea katika nchi anayotawala!
Hivi kweli anashindwa kukemea unadhalimu huu unaoendelea nchini!?
Kumshinikiza Msimamizi atoe form za viapo viapo vya mawakala ili uchaguzi ufanyike bila tatizo, sio tija? Basi mmefikia pabaya.Mbowe kila siku anapenda kusababisha mauaji wa watu kwa maandamano yasiyo na tija
Unashida wwMbowe kila siku anapenda kusababisha mauaji wa watu kwa maandamano yasiyo na tija
huna hata haya mnaua watu wasio kuwa na hatia kisa matumbo yenu. Mnalazimisha kupendwa kwa gharama ya maisha ya watu. Shame on you.Mbowe kila siku anapenda kusababisha mauaji wa watu kwa maandamano yasiyo na tija
Na dunia nzima inamrekodi tutokea siro awe promoted to IGP mauaji yamekuwa mengi na ya kutisha
Nashindwa kukuelewa mkuu, au tuseme nashindwa kuelewa kama una akili au huna...labda tuseme unazo ila hupendi kuzitumia.Mbowe kila siku anapenda kusababisha mauaji wa watu kwa maandamano yasiyo na tija