Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,076
Hii damu ya watu inayomwagika itawapa laana wauaji katika maisha yao yote.
Imekuwa vyema Kamanda Mambosasa amekiri kuwa askari wake ameua.
Ni wajibu wa aliyemteua kumtumbua Kamanda huyo na kama hatafanya hivyo tutaamini kuwa amri ya upigaji ovyo wa risasi hizo ulitoka kwake Mkuu wa nchi