Kwahiyo mbowe ndio aliyepiga risasi juu kisha ikampata mwanafunzi aliye kwenye daladala?Mbowe kila siku anapenda kusababisha mauaji wa watu kwa maandamano yasiyo na tija
Kwahiyo mbowe ndio aliyepiga risasi juu kisha ikampata mwanafunzi aliye kwenye daladala?Mbowe kila siku anapenda kusababisha mauaji wa watu kwa maandamano yasiyo na tija
Inaweza kuu lakini sio mtu alie ndani ya daladala.labda uwe blank range(bila kizuizi katika uwazi)Wataalamu mliosoma sijui MOTION, mara PROJECTILE na zifananazo, naomba kuuliza;
Kuna uwezekano RISASI iliyopigwa kuelekezwa juu ikafikia velocity yake ya mwisho kisha ikarudi na kuua/piercing human body???
Natanguliza shukrani zangu za dhati!
haya mauaji yamefanywa na ccm wananchi tumeonaMbowe kila siku anapenda kusababisha mauaji wa watu kwa maandamano yasiyo na tija
Mbowe kila siku anapenda kusababisha mauaji wa watu kwa maandamano yasiyo na tija
Itakua Marehemu alijigeuza Shoro-Bwenzi akawa anapaa hewani ndio akakutana na risasiMbona jibu jepesi sana kamanda ametoa!??? Amepigwa na risasi zilizokuwa zinapigwa hewani!?????
Huyo aliepigwa risasi nae alikuwa hewani!??
Katika binadamu ambao wanadharaulika na kujidhalilisha hapa nchini basi nawe umo .ulaaniwe wewe waliokuzaa na utakao wazaa wote mlaniwe shetani punguani mkubwa kabisa na yeyote mwenye akili za kipunguani kama za kwako japo wengine twambiwa wana ma PhD lakini haijalishi.Mbowe kila siku anapenda kusababisha mauaji wa watu kwa maandamano yasiyo na tija
Siku akiuawa ndugu yako uje useme ni uzushi pia! Akili kama hizi ni ngumu sana kuleta tija katika nchi hii! Mwananchi wamefanya mahojiano Mambo sasa, amekiri kupata habari za mtu kupigwa risasi na kuuawa halafu wewe unasema ni uzushi! Angekufa ndugu yako ungekuwa na nguvu za kusema hivyo!?! RUBBISHhaya unayoandika umeyashuudia au kuna mtu aliye shuudia kayasema? mnaamini uzushi wa watu waliopoteza dira kataa kuwa nymbuu.
Haya majibu yananifikirisha sana but nahisi si mtanzania na umetumwa kuja kuliangamiza taifaMbowe kila siku anapenda kusababisha mauaji wa watu kwa maandamano yasiyo na tija
Hewani sio angani hata hapo ulipo ni hewani.Mbona jibu jepesi sana kamanda ametoa!??? Amepigwa na risasi zilizokuwa zinapigwa hewani!?????
Huyo aliepigwa risasi nae alikuwa hewani!??
Mtu amekufa we akili zako ziko kwa Mbowe,hujielewi wewe,wanao ingia jf sio watoto wa chekechea unaonyesha ulivyo na mahaba ya ulimbukeni.Mbowe kila siku anapenda kusababisha mauaji wa watu kwa maandamano yasiyo na tija
Tanzania damu ya mwananchi haina thamani yeyeto, ni ya kumwagwa barabarani na kukanyagwa na wapita njia.Magufuli haelewi kuwa damu ya huyu mtoto aliyeuawa na polisi wa chama chake yaweza kuwa na nguvu kuliko yeye, hao polisi na majeshi yake yote...pumbavu!
Hivu watu hutawanywa kwa risasi za moto?? Yaani majibu ya kibwege kabisa. Hao ndio walinda watu na mali zao. Bado Mkuu wa nchi kakaa kimyaMajibu mepesi sana zaidi ya unyoya wa jogoo.
Pathetic!