Polisi wezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wezi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kifulambute, Jun 28, 2012.

 1. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  jamani how comes serikali ikachukua mapato bila kutoa receipt? Polisi wameanzisha process za kutoa ID kwa wafanyakazi wa ndege, kwa mtanzania unatoa 13,000 na foreigners $25+11000 lakini pesa hizo zote ukitoa hupewi receipt.....huu ni wizi...nimetoka mida hii hapa Polisi Arusha na hawatoi receipt jamani weizi hawa!
   
Loading...