Polisi wetu hureeeee!!!!!

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Vijana wetu wa jeshi la polisi wanafanya kazi kubwa sana, nzuri na yenye kutukuka. Leo wamepambana na majambazi mjini Mwanza na kufanikiwa kuyaua majambazi mawili. Lakini vipi serikali yetu, mbona inawasahau? Mishahara midogo, makazi duni. Sijui mhe Vuai kama ataweza kuwatetea vijana wtu hawa katika cabinet. Wamesahaulika kwa kweli.
 
Back
Top Bottom