pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,249
Mkuu alijificha ktk dari lake, pesa ni zake, unashuka pesa hazipo tena.hivi mtu akiwa juu ya bati anaweza kushuhudiaje mtu akibeba fedha taslim laki tatu. hapo mkuu chumvi unless huyo jamaa macho yanauwezo mkubwq wa kuzoom.
hapo kama kweli ni uharifu tu na wananchi walioibiwa ulipaswa kuwashauri wqfuate utaratibu. ndio maana huwa tunasikia wanafukuzwa kazi pia.