Polisi wazuia mdahalo wa Katiba Iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wazuia mdahalo wa Katiba Iringa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Nov 26, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Jeshi la polisi mkoani Iringa limezuia mdahalo wa wazi wa katiba uliopangwa kufanyika leo kuanzia majira ya saa 4 asubuhi katika kijiji cha Tangangozi jimbo la Kalenga wilaya ya Iringa vijijini mkoani Iringa kwa madai kuwa hakuna baraka za serikali za kufanya midahalo hiyo.
   
 2. u

  utantambua JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa vinywa vyao serikali inasema iko tayari kwa katiba mpya lakini kwa matendo yao wanatuambia hawataki katiba mpya
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Nini maana ya kuandaa katiba wakti wananchi wanapotaka kuijadili wanazuiwa?
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Nahc
  katiba mpya ipo tayari,ila muda tu wa kuitoa haujafika
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,463
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Safi sana. Enzi ya nguvukazi irudishwe, hatuezi kuwa na taifa la watu wa manenomaneno tu ambao hawataki kufanya kazi! Wanataka kuficha uzembe wao kwa kisingizio cha katiba.
   
 6. M

  Mzalendoo Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hiv wadau,maandamano ya leo kuhusu mswaada wa sheria ya katiba mpya vp?
   
 7. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hawataki kufanya kazi wewe ndio unawalisha? Acha kashfa hizo!
   
 8. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,079
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wewe kweli nihamnazo, ukiwazuia kufanya mdahalo ndio wataenda kufanya kazi? Kwanini usiwaambie hao mapimbi wenzako unaowatetea hapa kwa ufirauni wao wawapelekee pembejeo za kilimo za kutosha na kwa wakati muafaka wakulima hao ili wazalishe chakula cha kutosha.
   
 9. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,958
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Wanazuia nini wakati wao wenyewe walisema ni haki ya raia kujadili???

  Mwisho watakuja hata kupiga marufuku kuenda haja kubwa
   
 10. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Du! Dis cantry is running mad aiseeeeeeeee
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Really running crazy
   
 12. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbumbumbu wa mwisho we,nini maana ya kukusanya maoni kwa wananchi?au unalopoka tu.
   
 13. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  Nasita kutamuka nape at work ila tu unawaza kutumia masaburi
   
 14. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 55,355
  Likes Received: 16,769
  Trophy Points: 280
  Bora ingekuwa mnajadili Mswaada, ngojeni sheria ya namna ya kuijadili katiba mpya Rais bado haja dondosha saini yake, msifanye haraka, mambo mazuri hayataki haraka, mnanchekesha.
   
 15. i

  ipogolo JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 1,920
  Likes Received: 251
  Trophy Points: 180
  mnajadili katiba ipi sasa? hadidu za rejea mnazo? Kamati teule ya cdm haijakutana na kikwete ,hatujui nini kitaamuliwa? Tanangozi acheni kushinda barabarani nendeni katika viwengi mkalime.
   
 16. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,351
  Likes Received: 1,299
  Trophy Points: 280

  taratibu bana... if you read btw lines mkuu kaongea point! siku hizi watu hawafanyakazi / au jambo dogo ambalo mtu anaweza akalifanya yeye binafsi anasingizia serikali ...

  nalipongeza jeshi la polisi kwa maamuzi sahihi ... vikao vyote vinahitaji baraka ya serikali kwanza
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 55,550
  Likes Received: 19,877
  Trophy Points: 280

  Mkuu CS, Yaani inashangaza sana na kuudhi kweli kweli. Wananchi wanakutana kuijadili katiba yao. Mapopo wanawazuia!!!! Dah! :(:(
   
 18. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #18
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,828
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Sawa na wewe unavyo wachekesha wenzio kwenye masaburi yako na huwa hufanyi subira
   
 19. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hata vikao vya send off, misiba, harusi, baa, nk vinahitaji "baraka za Serikali?"
   
 20. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hata kama wananchi wanajadili Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, magamba mnachohofia ni nini hasa? Kwa nini msiache wananchi watoe maoni yao kwa uhuru kama Katiba inavyoruhusu?
   
Loading...