Polisi wazingira nyumba ya Lissu, Muliro aeleza sababu 'Sisi tumeweka ulinzi wa kawaida'

Elias Msuya

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
173
Reaction score
671
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro.jpg

Wakati kesi za Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu zikiendelea leo katika Mahakama ya Haki Mkazi Kisutu Dar es Salaam, askari wa Jeshi la Polisi wakiwa kwenye magari manne wamezingira nyumbani kwake kinachoelezwa kuwa wanataka kufanya upekuzi.

Lissu aliyekamatwa Aprili 12, 2025 wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma, alipendishwa kizimbani katika Mahakama ya Gakimu MKazi Kisutu Dar es Salaam, akikabiliwa na mashitaka ya Uhaini na Kuchapisha taarifa za uongo.

Akizungumza na JamiiForums leo Aprili 28, 2025 saa 4:04 asubuhi, Mkurugenzi wa Uenezi na Mawasiliano wa Chadema, Brenda Rupia amesema polisi hao wanataka kufanya upekuzi nyumbani kwa Lissu.

“Bado wapo hapo, hawasemi wanataka nini zaidi, maana kama angekuwepo Mwenyekiti (Lissu), tungesema ni house arrest (kukamatiwa nyumbani). “Tumewaomba vibali vya upekuzi, hawana,” amesema.

Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro alipoulizwa sababu ya askari hao kufika mahali hapo, amesema ni ulinzi wa kawaida.
“Sisi tumeweka ulinzi wa kawaida, sasa hao wanaosema tunafanya upekuzi waulize askari wameonyesha searching order au searching warrant? Maana kabla hujauliza kibali cha Mahakama kwa nini usiulize kibali cha polisi?” amehoji Muliro.

Ameongeza, “Waulize wenye nyumba sio viongozi wa Chadema. Inawezekana wameona watu wanapitapita wakawaita polisi. Sisi tunafanya ulinzi kwa watu wote, sio chama iwe ni Chadema, ACT Wazalendo au chama chochote.”

Akizungumzia ujio wa polisi hao, msaidizi wa Lissu, David Djumbe amesema awali walifika alfajiri wakiwa na magari manne na kuanza kugonga geti, lakini hawakufunguliwa.

“Baadaye walikwenda kwa mjumbe wa shina ambaye aliwapigia simu wanafamilia akisema polisi hao wamekuja hapo kufanya upeukuzi, ndipo akaambiwa mwenye nyumba (Lissu) hayupo hawawezi kuwafungulia,” amesema.

Djumbe amesema ndugu waliopo nyumbani hapo wameshindwa kutoka kwenda kwenye shughuli zao kwa kuwa nyumba imezingirwa.
 
Attachments

  • Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro.jpg
    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro.jpg
    100.1 KB · Views: 17
“Baadaye walikwenda kwa mjumbe wa shina ambaye aliwapigia simu wanafamilia akisema polisi hao wamekuja hapo kufanya upeukuzi...
Sasa kama hii taarifa ya kwenda kwa mjumbe wa shina (wa CCM) kama ni ya kweli, polisi watakuwa wamekosea.

Mjumbe wa nyumba kumi na kupekuana wapi na wapi!!
 
View attachment 3318529
Wakati kesi za Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu zikiendelea leo katika Mahakama ya Haki Mkazi Kisutu Dar es Salaam, askari wa Jeshi la Polisi wakiwa kwenye magari manne wamezingira nyumbani kwake kinachoelezwa kuwa wanataka kufanya upekuzi.

Lissu aliyekamatwa Aprili 12, 2025 wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma, alipendishwa kizimbani katika Mahakama ya Gakimu MKazi Kisutu Dar es Salaam, akikabiliwa na mashitaka ya Uhaini na Kuchapisha taarifa za uongo.

Akizungumza na JamiiForums leo Aprili 28, 2025 saa 4:04 asubuhi, Mkurugenzi wa Uenezi na Mawasiliano wa Chadema, Brenda Rupia amesema polisi hao wanataka kufanya upekuzi nyumbani kwa Lissu.

“Bado wapo hapo, hawasemi wanataka nini zaidi, maana kama angekuwepo Mwenyekiti (Lissu), tungesema ni house arrest (kukamatiwa nyumbani). “Tumewaomba vibali vya upekuzi, hawana,” amesema.

Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro alipoulizwa sababu ya askari hao kufika mahali hapo, amesema ni ulinzi wa kawaida.
“Sisi tumeweka ulinzi wa kawaida, sasa hao wanaosema tunafanya upekuzi waulize askari wameonyesha searching order au searching warrant? Maana kabla hujauliza kibali cha Mahakama kwa nini usiulize kibali cha polisi?” amehoji Muliro.

Ameongeza, “Waulize wenye nyumba sio viongozi wa Chadema. Inawezekana wameona watu wanapitapita wakawaita polisi. Sisi tunafanya ulinzi kwa watu wote, sio chama iwe ni Chadema, ACT Wazalendo au chama chochote.”

Akizungumzia ujio wa polisi hao, msaidizi wa Lissu, David Djumbe amesema awali walifika alfajiri wakiwa na magari manne na kuanza kugonga geti, lakini hawakufunguliwa.

“Baadaye walikwenda kwa mjumbe wa shina ambaye aliwapigia simu wanafamilia akisema polisi hao wamekuja hapo kufanya upeukuzi, ndipo akaambiwa mwenye nyumba (Lissu) hayupo hawawezi kuwafungulia,” amesema.

Djumbe amesema ndugu waliopo nyumbani hapo wameshindwa kutoka kwenda kwenye shughuli zao kwa kuwa nyumba imezingirwa.
Akili ndogo sana
 
Uwongo kwa Tanzania Police upo kwenye DNA
 
Ni Kama vile Uganda ambavyo Rais Yoweri Museven anavyowafanyia Wapinzani wake akina Kiza Besigye na Bob Wine
 
Lakini kwa upande mwingine, kila wakati tusiwe tunawatafsiri vibaya hao Polisi, huenda wanafanya hivyo kwa nia njema kabisa ya kutaka kuuamsha Umma ili uweze kutekeleza wajibu wake wa kikatiba wa kuiwajibisha Serikali pale Umma huo wanapoona Serikali hiyo haitendi HAKI au haitendi vile ipasavyo. It is like a Wake up call!
Mbinu ya namna hii pia iliwahi kutumika kule nchini Tunisia Mwaka 2011 katika yale Mapinduzi yaliyotokea huko na kusambaa hadi kwenye nchi zingine zote za kiArab "Arab Uprising."
Aliyekuwa Rais dikteta wa nchi hiyo ya Tunisia Bw. Beni Alli alilazimika kujiuzuru na kukimbilia uhamishoni kutokana na mkasa huo. Huenda Jeshi la Polisi watakuwa wanaongea 'kiutu uzima' kwa kutumia 'lugha ya ishara' ili kuuamsha Umma wa waTanzania uliolala fofofo usingizi wa pono.
 
viongozi wa chadema walitaka kinuke polisi wameamua kuwaonjesha ladha ya kikinuka hali ikoje kwahiyo hatutaki kuskia milio ya sijui wamezunguka nyumba, sijui wamenitandika nikiwa uchi wa mnyama.

Vumilia ladha ya sumu uliyotaka kuitengeneza.
 
View attachment 3318529
Wakati kesi za Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu zikiendelea leo katika Mahakama ya Haki Mkazi Kisutu Dar es Salaam, askari wa Jeshi la Polisi wakiwa kwenye magari manne wamezingira nyumbani kwake kinachoelezwa kuwa wanataka kufanya upekuzi.

Lissu aliyekamatwa Aprili 12, 2025 wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma, alipendishwa kizimbani katika Mahakama ya Gakimu MKazi Kisutu Dar es Salaam, akikabiliwa na mashitaka ya Uhaini na Kuchapisha taarifa za uongo.

Akizungumza na JamiiForums leo Aprili 28, 2025 saa 4:04 asubuhi, Mkurugenzi wa Uenezi na Mawasiliano wa Chadema, Brenda Rupia amesema polisi hao wanataka kufanya upekuzi nyumbani kwa Lissu.

“Bado wapo hapo, hawasemi wanataka nini zaidi, maana kama angekuwepo Mwenyekiti (Lissu), tungesema ni house arrest (kukamatiwa nyumbani). “Tumewaomba vibali vya upekuzi, hawana,” amesema.

Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro alipoulizwa sababu ya askari hao kufika mahali hapo, amesema ni ulinzi wa kawaida.
“Sisi tumeweka ulinzi wa kawaida, sasa hao wanaosema tunafanya upekuzi waulize askari wameonyesha searching order au searching warrant? Maana kabla hujauliza kibali cha Mahakama kwa nini usiulize kibali cha polisi?” amehoji Muliro.

Ameongeza, “Waulize wenye nyumba sio viongozi wa Chadema. Inawezekana wameona watu wanapitapita wakawaita polisi. Sisi tunafanya ulinzi kwa watu wote, sio chama iwe ni Chadema, ACT Wazalendo au chama chochote.”

Akizungumzia ujio wa polisi hao, msaidizi wa Lissu, David Djumbe amesema awali walifika alfajiri wakiwa na magari manne na kuanza kugonga geti, lakini hawakufunguliwa.

“Baadaye walikwenda kwa mjumbe wa shina ambaye aliwapigia simu wanafamilia akisema polisi hao wamekuja hapo kufanya upeukuzi, ndipo akaambiwa mwenye nyumba (Lissu) hayupo hawawezi kuwafungulia,” amesema.

Djumbe amesema ndugu waliopo nyumbani hapo wameshindwa kutoka kwenda kwenye shughuli zao kwa kuwa nyumba imezingirwa.
huyu jamaa ndo maana shavu moja limeninginia utafikiria ameng`olewa magego kumbe lana tu ya damu za watu
 
Sasa unapeleka ulinzi kwenye nyumba ya watu ambao hawajaomba kulindwa?

Polisi wanaweza kwenda kulinda sehemu bila ya kuwa na sababu ya kulinda? Nani kawaambia Kwa Lissu wanataka ulinzi. Au ndiyo hiyo intelejensia yao?
Tena kulinda nyumba ya muhaini kweli hii nchi inavichekesho kweli lakini hizi zote nipirika pirika za uchaguzi jambo lao likikamilika kama alivyo sema Nape unakaa chini unatubu unasema Mungu nisamehe.
 
Hivi huyu babu Muliro siku akifa atazikwa kabisa kama binadamu wa kawaida? huwa anafanya matendo ambayo hata shetani ana nafuu
 
Back
Top Bottom