Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 48,381
- 39,176
sio nawatetea naeleza ukweli bayana,Dish kuyumba ndio imeingiza hiyo kitu.
Umewatetea kuwa wanaoendesha hizo V8 za milioni 7 waliaminiwa kwa sababu madish yao hayajayumba 😂
That is not true bwashee
Hao wanaoambatana na aliye ongeza ukubwa wa makalio hupokea na kutii maelekezo ya mwanaume mwenzao aliyeongeza ukubwa wa makalio, hapo ina maana bosi na hao vibarua wake wote dish zimeyumba, kwanza hayo magari hawana uchungu nayo hawatadaiwa chochote yakipondeka ana kuungua moto.
hapana habari ya kutetea mtu hapa,
kila moja atajitetea mwenyewe mbele za Mungu siku ya mwisho kwa namna yake na kadiri alivyoishi humu duniani...
haya maoni na mitazamo yetu juu ya akina fulani na fulani, yataendelea kuwepo tu wakati nasi kwenye nafasi mbalimbali tunaendelea kuchapa kazi na kusonga mbele kadiri tunavyojaaliwa afya, nguvu, maarifa ma weledi mkubwa sana kwa maslahi mapana ya nchi na waTanzania wote....
Tuombeane kheri, tusameheane kwenye mapungufu na changamoto zinazowakwaza kwa namna moja au nyingine.
Ni katika hali ya ubinadamu tu ndio haya yanatokea...
R.I.P Laigwanan comrade ENL