Polisi waweke hadharani tathmini ajali msafara wa Makonda

Polisi waweke hadharani tathmini ajali msafara wa Makonda

acha upotoshaji,
Ajali ni ajali yaweza tokea au kumpata yeyeto popote wakat wowote 🐒

ni lini magari ya serikali ilitengwa kutokupata ajali?

Ajali imetokea,
viongozi waandamizi wa chama na serikali wamehusika katika kadhia hiyo. Hilo liko wazi 🐒

Ashukuriwe Mungu hapakutokea vifo bali majeruhi na uharibifu wa magari.
Tunawaombea majuruhi wote ahueweni na uponyaji wa mapema 🐒

R .I. P Laigwanan comrade EL
Watumishi wa serikali ni marufuku kujihusisha na siasa wawapo kazini, hii ni kanuni ya utumishi.
 
Unataka kusema hao wanaoambatana na Makonda katika misafara yake dishi zao zipo sawa?

Nina hakika..... you know nothing about Makonda na movie zake 😁
kwamba dish limeyumba kisha ndio ameaminiwa kusukuma ndinga ya million mia7🤣

This world is not fair kwakweli 🐒

RIP Laigwanan comrade ENL
 
Watumishi wa serikali ni marufuku kujihusisha na siasa wawapo kazini, hii ni kanuni ya utumishi.
Kwa mujibu wa katiba chama kinachoshinda Uchaguzi ndicho chenye dhamana ya kuunda serikali🐒

hivi sasa kinachotekelezwa ni ilani ya uchaguzi ya CCM, chama kilichoshinda uchaguzi ulopita 🐒

Unadhani anaepaswa kuitekeleza hiyo ilani ya CCM kwa vitendo ni nani kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 🤣

R.I.P Laigwanan Comrade ENL
 
Tunataka uwazi na hatutaki longolongo. Magari 13 yamepata ajali katika msafara wa Makonda huko Masasi.
1. Wamiliki wa hayo magari ni nani? Maana kuna taarifa zisizo rasmi kuwa yapo magari ya serikali ambayo yamebandikwa namba za bandia ili yasijulikane.
2. Kubandika namba za bandia kwenye gari na kuliingiza barabarani ni kosa la usalama barabarani jee wamechukua hatua gani?
3. Kama kuna magari ya serikali, jee gharama za matengenezo zitabebwa na nani?

View: https://youtu.be/V1qhqyGfpWQ?si=nqCLxmzyUaDpAI76

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Sidhani kama watu wamepona kama wanavyodai.
 
Mbona hushangai kwa mwanaume kwenda kufanyiwa upasuaji wa makalio yao big?

You know nothing about Makonda 😂😂
makalio tena yamefikafikaje apa 🤣

it's none of my business to know anything about Makonda,

but I used to work with him before and for sure he is back on track we are again at work together as a team, in a mission of transforming this country into a next level of economic, political, social, cultural, science and technological sphere's of development 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
makalio tena yamefikafikaje apa 🤣
Dish kuyumba ndio imeingiza hiyo kitu.

Umewatetea kuwa wanaoendesha hizo V8 za milioni 7 waliaminiwa kwa sababu madish yao hayajayumba 😂
That is not true bwashee

Hao wanaoambatana na aliye ongeza ukubwa wa makalio hupokea na kutii maelekezo ya mwanaume mwenzao aliyeongeza ukubwa wa makalio, hapo ina maana bosi na hao vibarua wake wote dish zimeyumba, kwanza hayo magari hawana uchungu nayo hawatadaiwa chochote yakipondeka ana kuungua moto.
 
unazungumza serikali ya CCM kutumia magari ya serikali yake sio 🐒

completely uko confused 🤣

R I P Laigwanan comrade EL
Kumbe wewe ni mbishi tuu lakini huna uelewa wowote kuhusu sheria ya vyama vya siasa na utofauti wa shughuli za chama na za serikali.
Nadhani kuliko kila wakati kuandika JF jikite katika kusoma na kujifunza.
 
kwani hilo ni jambo la kitaifa? si la chama chao aisee kwanini litusumbue? waacheni na maajali yao huko na manguo yao ya mbogamboga watajuana wenyewe.
 
unazungumza serikali ya CCM kutumia magari ya serikali yake sio 🐒

completely uko confused 🤣

R I P Laigwanan comrade EL
Ficha upumbavu wako. Ndio maana gari za chama Zina sajiliwa Tofauti na gari za serikali. Otherwise wangetumia TU hizo za serikali maana wanazimiliki wao.
 
makalio tena yamefikafikaje apa 🤣

it's none of my business to know anything about Makonda,

but I used to work with him before and for sure he is back on track we are again at work together as a team, in a mission of transforming this country into a next level of economic, political, social, cultural, science and technological sphere's of development 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
It's no wonder you are a complete idiot just like him
 
Kumbe wewe ni mbishi tuu lakini huna uelewa wowote kuhusu sheria ya vyama vya siasa na utofauti wa shughuli za chama na za serikali.
Nadhani kuliko kila wakati kuandika JF jikite katika kusoma na kujifunza.
sawa kamanda ngoja tumalize hii kazi ya huzuni ya maombolezo ya mwenda zake halafu upatiwe darasa mujarabu kuhusu uhusiano wa chama tawala na serikali yake, jinsi ifanyavyo kazi kwa mujibu wa katiba ya JMT..

polepole utaelewa tu na ile kitu muhimu na nzuri zaidi uko nayo ni kwamba unafundishuka na unaelekezeka.
na huo ndio ungwana kamanda....

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Ficha upumbavu wako. Ndio maana gari za chama Zina sajiliwa Tofauti na gari za serikali. Otherwise wangetumia TU hizo za serikali maana wanazimiliki wao.
ongea vizuri sasa kwamba gari za chama tawala na gari za serikali ya ccm zina usajili tofauti....

na nikupe faida kidogo tu kwamba ni CCM peke yake ndio chama chenye nia, mipango na malengo ya kushika dola, kuunda serikali, na kuongoza nchi ikiwatumikia wananchi wake kwa umahiri na weledi wa viwango vya juu zaidi duniani....

vyama vingine ni porojo na makelele tu ya watoto wa town wapiga dili...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
It's no wonder you are a complete idiot just like him
Relax bana dont panic 😀

Tunafanya kazi kwa bidii sana na mambo inaenda muzuri zaid,
thank you for the encouragements

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
ongea vizuri sasa kwamba gari za chama tawala na gari za serikali ya ccm zina usajili tofauti....

na nikupe faida kidogo tu kwamba ni CCM peke yake ndio chama chenye nia, mipango na malengo ya kushika dola, kuunda serikali, na kuongoza nchi ikiwatumikia wananchi wake kwa umahiri na weledi wa viwango vya juu zaidi duniani....

vyama vingine ni porojo na makelele tu ya watoto wa town wapiga dili...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
Watoto wa town wapiga dili huwajui!? Ni wale wanaoimba ccm ina wenyewe na yule mshanba Magufuli alivyoondoshwa wakashangilia chama kimerudi Kwa wenyewe. Naamini unawajua na bila shaka wewe ni mMoja wa Machawa wao.
 
relax joh 😀

chairman mwamba wa kaskazini kama kawa kama dawa hawezi ruhusu puppet ampande kichwani hata siku moja...

hao wengine unaowataja wewe ni mastudent tu labda wanajifunza kwa mbaaaaliii but checkbob mtoto wa town ataendelee kuwaburuza hizo mindset hadi mchakae vizuri na hakuna kitu mtapata wala kumfanya...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Siwapendi CCM ila haka kanyimbo nakapendaga huwa napenda kukaplay nikiwa na hasira 🤣🤣🤣🤣
Sema Komba anajua bhana
umenibariki mno mtumishi Lamomy kwa hili goma losilochujaga dah....

hivi ndivyo vitu mihimu zaid yafaa viskosekane kwenye simu yako,

hadi najiskia kutoa kakitu dah aisee...
 
umenibariki mno mtumishi Lamomy kwa hili goma losilochujaga dah....

hivi ndivyo vitu mihimu zaid yafaa viskosekane kwenye simu yako,

hadi najiskia kutoa kakitu dah aisee...
Sisy yangu ananiambiaga hutupendi CCM ila nyimbo zetu unazisikiliza.!!! 🤣🤣🤣🤣
Namwambia ni vile unanilazimishaga niwepo kwenye kampeni zako.
Ila vinyimbo vya CCM vina ladha sana na kejeli
Hapo kwenye kutoa ka kitu ndio nasubiri nikutumie namba 😂😂😂
 
Back
Top Bottom