Dodoma. Haieleweki kama ni kutokana na
tishio la Baraza la Vijana wa Chadema
(Bavicha) au ni mabadiliko ya kawaida,
Polisi wameamua kuweka ulinzi mkali
mjini hapa.
Jana, Kamati Kuu ya CCM ilifanya kikao
kwenye jengo la makao yake makuu
maarufu White House, ambalo lilikuwa
na ulinzi mkali wa polisi wenye sare,
askari kanzu, askari wa kikosi cha mbwa,
hali iliyofanya mtu asiyehusika
kupenyeza maeneo hayo kuwa ngumu
tofauti na ilivyozoeleka.
Magari yaliyobeba askari polisi, vikosi vya
mbwa na maofisa Usalama wa Taifa
walionekana kutanda maeneo yote
kuzunguka jengo hilo lililopo Barabara
Kuu, katikati ya mji wa Dodoma.
Mapema wiki hii, mkuu wa mkoa wa
Dodoma, Jordan Rugimbana alitoa
tahadhari kwa mtu yeyote anayetaka
kufanya vurugu, akisema wamejiandaa
vizuri kukabiliana nao.
wanalidwa na jeshi kwa nn
pamoja na kupata lunch nimeshindwa kukuelewa..Majuzi Marekani tumeona Republican na Democratic wakifanya mikutano yao bila nagari ya deraya wala Makundi ya mbwa wapolisi. ANC,ZANU, nk nk hawajawahi kufanya mikutano wakiwa wamezingirwa na maelfu ya askari idadi kama ya wajumbe.
Nini kimepelekea ccm kuvunja rekodi hii ya dunia?
Hivi sehemu ambayo yupo Rais wa nchi waziri mkuu, makamo wa Rais ulitegemea ilindwe kiukawa?Majuzi Marekani tumeona Republican na Democratic wakifanya mikutano yao bila nagari ya deraya wala Makundi ya mbwa wapolisi. ANC,ZANU, nk nk hawajawahi kufanya mikutano wakiwa wamezingirwa na maelfu ya askari idadi kama ya wajumbe.
Nini kimepelekea ccm kuvunja rekodi hii ya dunia?
Kama ni Maharage subiri yashuke kidogopamoja na kupata lunch nimeshindwa kukuelewa..
Ule mkutano mkuu wa mwaka Jana na miaka ya nyumba wale waliokuwa wanakuja ni makatibu kata?Hivi sehemu ambayo yupo Rais wa nchi waziri mkuu, makamo wa Rais ulitegemea ilindwe kiukawa?
Bila Polisi Magamba ni mepesi kama UnyoyaMajuzi Marekani tumeona Republican na Democratic wakifanya mikutano yao bila nagari ya deraya wala Makundi ya mbwa wapolisi. ANC,ZANU, nk nk hawajawahi kufanya mikutano wakiwa wamezingirwa na maelfu ya askari idadi kama ya wajumbe.
Nini kimepelekea ccm kuvunja rekodi hii ya dunia?
pamoja na kupata lunch nimeshindwa kukuelewa..
hata nikisubiri mpaka mwakani ni kazi bure..Kama ni Maharage subiri yashuke kidogo
Hivi sehemu ambayo yupo Rais wa nchi waziri mkuu, makamo wa Rais ulitegemea ilindwe kiukawa?