JESHI LA POLISI, HALINA MTETEZI, POLISI WETU WANAFANYA KAZI KTK MAZINGIRA MAGUMU. HAKUNA OVERTIME ALLOWANCE, NIGHT ALLOWANCE, TRAVELLING ALLOWANCE, PESA ZA LIKIZO HAWALIPWI, HATA KAMA WANALIPWA NI MIAKA KUMI TOKA UANDIKIWE VOUCHER PAYMENT.
PESA ZAO ZINALIWA NA MA-OCD NA MA-RPC, MAKAZI DUNI, CHOO NA BAFU NI NYUMBA ZA MANAMBA'WANA UZALENDO KWA TAIFA,HATA IKIBIDI KUFA KATIKA KUPAMBANA NA UHALIFU. WENZAO JWTZ POSHO YAO NI 225,000tsh. POLISI 150000tsh. LEO MNAWAPA 100,000tsh HUKU BUDGET MMEPITISHA, WAZIRI KAHOJIWA NA MB MNYIKA, HAKUUMA MANENO KASEMA POSHO NI 150,000tsh.
Vueni magamba muwape polisi we tu, haki yao japo ni kidogo lakini kitawapunguzia ukali wa maisha na rushwa za tsh 50 .
No research No right to speak. Unamaanisia Polisi, au JWTz . Labda Polisi wa CHALINZE NDIO WANALIPWA 150000 .acha kuingilia mambo yasiokuhusu..mbona polisi wanalipwa laki na 150000 toka siku nyingi labda ungewasemea walimu
Hao waliogoma sio polisi, huwezi kula kiapo cha utii tena utii wenyewe ni wa ndio afande halafu ukagoma, haipo hiyo ajua.
Polisi ni wanafiki tu.
Maisha ya hawa watumishi wa serikali ni mabaya sana, ukitembelea sehemu zao wanazokaa unaweza kulia. Lakini wapinzani wanapokuwa wanafanya jitihada za ku-pressurize serikali kuwaangalia watu maskini polisi wakiwemo, wenyewe ndo wanakuwa wa kwanza kuwashambulia hao watetezi kwa mabomu. Wajifunze kutoka Misri.
Mkuu king umesema polisi hagomi siku tukiandamana kuwatetea wakiamuliwa kuja kutupiga risasi itakuwaje watagoma.hapana mkuu polisi wetu wamefungwa na sheria ngumu sana na nadhani kama ungekuwa na ufahamu ungenyamaza usidhani polisi wote wanaopoteza maisha ni siku zao kuna mambo mengi sana, polisi akigoma anaitwa muhaini na anaweza kupigwa risasi hivyo basi lazima mtambue
pili polisi wakigoma ina maana majambazi watakuwa huru siku hiyo na mwisho wa siku atayeumia ni sisi wananchi cha msingi ni jamii iandae maandamano ya kuwatetea polisi kutoka katika maisha duni
Mkuu king umesema polisi hagomi siku tukiandamana kuwatetea wakiamuliwa kuja kutupiga risasi itakuwaje watagoma.
Mkuu king umesema polisi hagomi siku tukiandamana kuwatetea wakiamuliwa kuja kutupiga risasi itakuwaje watagoma.
Mnadanganyana tu wakubwa. Polisi wa nchi gani hao wanaoweza kutia mgomo? Hawa polisi wa Tanzania ninaowafahamu mimi? Kama wanajeshi tu wananyanyasika lakini wanaendelea kuwa watiifu kama mbwa mbele ya anayemlisha, watakuwa polisi? Hakuna polisi mwenye ubavu wa kutia mgomo baridi au mgomo moto.
Mkuu umeniwahi tu Kakamhuyo Jamaa si tu kuwa ana kitu in common na hao Jamaa (Zombe Muuaji) na Shibuda (Chizi) Huyo anafikiri kwa Kutumia Makalio na Pia ni Nyumba Ndogo ya Mkwe.re a.ka Mamaake Mdogo na Ridhi1Zombe ni mwizi, jambazi na muuaji..yuko huru sababu tu tz hatuna utawala wa haki na sheria kwa watu wote. Shibuda ana mtitindio wa ubongo. So hawawezi kuwa reference ya argument yoyote ile, unless na ww you have something in common with them.