Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,755
- 2,643
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogro leo Julai 20, 2025 limedaiwa kuvunja kongamano la Baraza la Vijacha Chadema (BAVICHA) kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa baraza hilo Taifa, Deogratius Mahinyila.
Taarifa kutoka BAVICHA zimesema askari wa kutuliza ghasia walizingira eneo la ukumbi wakiwa na mabomu na silaha za moto na kutoruhusu mtu yeyote kuingia ukumbini, baadhi ya vijana wamekamatwa.