Kwa uzoefu unapokwenda kukagua guest house lazima iende kamati ya ulinzi na usalama nikiwa na maana si lazima kamati yote but at least mwakilishi mmoja ambae ni raia na lazima awe mtumishi wa serikali, polisi si wa kuwaachia kufanya mambo wenyewe inapokuja suala la kwenda kufanya searching kwa watu na ndio maana ukienda mtaani wanatakiwa kwenda na kiongozi wa serikali za mtaa
Unasemaa?!?nahisi ni mpango wa ccm kutafuta pesa za kampeni 2015 maana hali yao ya kipesa ni mbaya