Polisi watoa kituko cha kufungia mwaka leo

Polisi watoa kituko cha kufungia mwaka leo

Unapoambiwa kulisaidia jeshi la polisi ni pamoja na kutoa taarifa za uhalifu wa aina yoyote na sio kwenda dodoma ukafanye doria pamoja na polisi kuzima mkutano wa ccm!!
Muwe mnaelewa haraka
 
Kama umejichanganya, samahani lakini, maelezo yako hayajaonesha pahala ambapo jeshi la polisi limewaomba bavicha kwenda Dodoma kuwa saidia kupambana na wahalifu.

kwa hiyo bavicha sio raia wa tz? Na waliokatazwa kwenda dodoma ni uvccm? Au ni watu gani waliomba kwenda kuwasaidia hao polisi na huo mkanganyiko wa kauli zao zimetokana na msukumo upi kama sio wa bavicha? utakuwa wewe ndo umejichanganya.
 
Acha kukurupuka. Unajua maana ya RAIA. UVCCM, ni jeshi? Mahaba mengine yanawatoa ufahamu vibaya mno.
 
Hawa polisi watakua siyo binadamu wa kawaida.

Ishu ya Gwajima....waliomba msaada kwa waandishi wa habari!
Hahaha hahaha hahaha dah umenichekesha sana mkuu hawa polisi magamba ni kituko
 
Kupambana na uhalifu siyo lazima wewe ndiye ukakamate wahalifu.

Unapotoa taarifa police kuhusu uvunjifu wa sheria au amani katika sehemu uliyopo, kimantiki utakuwa umepambana na uhalifu au wahalifu.

Siyo kila mwananchi amefuzu mafunzo ya kupambana na wahalifu ana kwa ana. Kutoa taarifa police ni njia isiyo na gharama kubwa kwa mwananchi wa kawaida katika kupambana na wahalifu.

Hii ndiyo mantiki ya police.
Na pale waliposema hawahitaji msaada kwamba wamejitosheleza vipi, au ndio kula matapishi...
Ila tushazoea kusikia kila mara kauli zinazokinzana kutoka kwa wenye mamlaka...
Some time unaweza kucheka tu....
 
Kama unataka kupima mziki wake nenda dodoma uone kama watahitaji msaada kutoka kwako sasa.
 
Kama umejichanganya, samahani lakini, maelezo yako hayajaonesha pahala ambapo jeshi la polisi limewaomba bavicha kwenda Dodoma kuwa saidia kupambana na wahalifu.

BRN. Hata kuelewa statement fupi kama ile ni tabu, unaweza kufaulu mtihani wowote wewe? Haafu leo eti ndio unafungua domo kusema unajua suala la maendelo na ustawi wa taifa!. Pumbavu kweli kweli!
 
Kwani mkuu,

Ukiambiwa uende amboni kuisaidia polisi kushika gaidi utaenda?????kwanini huwa hamuombi kwenda nao ili nanyinyi wauelewe msimamo wenu kwenye suala zima la kutunza amani.

Mnavunjwa miguu sababu ya ubishi usio na logic.
 
Jeshi la umma ni kubwa kuliko jeshi la polisi
 
Asilimia 99 ya PolisiCCM wameghushi vyeti, hata hao maafisa wao akina Mambo-now wanatumia vyeti vya wajomba zao.
 
inatakiwa qualification ya kujiunga polisi iwe degree moja na kuendelea hawa std vii hawajua kushoto kwao kutoka kulia

Mkuu,uko sahihi.

Ila hao watoa matamko wengi ni wasomi. Ila wanasaka vyeo. Wanajua wakifanikiwa

kukandamiza demokrasia (wapinzani)hupewa zawadi kwa kazi nzuri ya kuibeba CCM-chama-dola.
 
BRN. Hata kuelewa statement fupi kama ile ni tabu, unaweza kufaulu mtihani wowote wewe? Haafu leo eti ndio unafungua domo kusema unajua suala la maendelo na ustawi wa taifa!. Pumbavu kweli kweli!

Nimekukubali mkuu una akili kweli kweli za kutukana na ukilaza wa kuelewa mambo. Unajua kitu inaitwa to read btn the lines. Kwa kiswahili kusoma na kisicho andikwa? Wambie na wezako wote mlio ni quote hapo juu nimekujibu kwa niaba yao.
 
Back
Top Bottom