Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
Nampenda sana Plato-tuko ktk madaraja matatu...tafuta hayo maelezo uniambie hiyo ya hao jamaa inawaweka daraja lipi.
Watu wenye akili wa nchi hii hulielewa jeshi la polisi nini linamaanisha. Polisi jamii na ulinzi shirikishi inatambua namna raia wanavyoshiriki kuisaidia polisi kwa kutoa taarifa zs waharifu na uharifu. Muktadha ulikataza usaidizi wa kijinga wa bavichaNi Jana tuu ndugu wadau Jeshi la Polisi kupitia kwa kamanda wake wa operesheni na mafunzo akitoa ufafanuzi kuhusu zuio la mikutano ya nje na maandamano ya vyama vya SIASA alisema kuwa jeshi hilo huwa haliombi msaada toka kwa RAIA katika kupambana na uhalifu kwani hawana ujuzi Wa mafunzo ya KIJESHI na mbinu zake. Hivyo huwa wanaomba msaada ikibidi kutoka majeshi Mengine.
Na akasisitiza kuwa watu kujikusanya na kwenda kulisaidia jeshi hilo huko Dodoma ni kutaka kuvunja Amani na utulivu uliopo na atakaye kwenda atakiona cha mtema kuni.
Leo jeshi la polisi wakishrikiana na polisi ya kimataifa (INTERPOL) kupitia kituo cha habari ITV saa mbili usiku wametangaza kukamatwa kwa wahalifu wa kimataifa pamoja na mali mbalimbali na siraha walizokuwa nazo wahalifu hao.
Pia Jeshi hilo limeomba RAIA wema KULISAIDIA kupambana na uhalifu na walifu mbalimbali hapa nchini ili kudumisha Amani na utulivu.
Hapo sasa ndo nikapata maswali magumu kwangu matatu ya MSINGI.
1. Kwani sisi RAIA tumepata mafunzo ya kijeshi na mbinu hizo lini mpaka watuombe tuwasaidie kazi zao?
2. Au wanataka tuwasaidie kazi hizo halafu watushugulikie Kama walivyo tangaza Jana tuu hata wiki haijaisha?
3. Au kauli ile ya Jana ya Jeshi la polisi imebatilishwa usiku waa manane wakati tumelala?
Karibuni ndugu zangu tuchangie hoja.
Una sifa za mnyama fulani wa porini tatizo tu una miguu miwiliWe nenda Dodoma ukalisaidie si mjuaji???
Inawezekana kauli yao hiyo ya jana waliitengua usiku wa jana hiyohiyoNi Jana tuu ndugu wadau Jeshi la Polisi kupitia kwa kamanda wake wa operesheni na mafunzo akitoa ufafanuzi kuhusu zuio la mikutano ya nje na maandamano ya vyama vya SIASA alisema kuwa jeshi hilo huwa haliombi msaada toka kwa RAIA katika kupambana na uhalifu kwani hawana ujuzi Wa mafunzo ya KIJESHI na mbinu zake. Hivyo huwa wanaomba msaada ikibidi kutoka majeshi Mengine.
Na akasisitiza kuwa watu kujikusanya na kwenda kulisaidia jeshi hilo huko Dodoma ni kutaka kuvunja Amani na utulivu uliopo na atakaye kwenda atakiona cha mtema kuni.
Leo jeshi la polisi wakishrikiana na polisi ya kimataifa (INTERPOL) kupitia kituo cha habari ITV saa mbili usiku wametangaza kukamatwa kwa wahalifu wa kimataifa pamoja na mali mbalimbali na siraha walizokuwa nazo wahalifu hao.
Pia Jeshi hilo limeomba RAIA wema KULISAIDIA kupambana na uhalifu na walifu mbalimbali hapa nchini ili kudumisha Amani na utulivu.
Hapo sasa ndo nikapata maswali magumu kwangu matatu ya MSINGI.
1. Kwani sisi RAIA tumepata mafunzo ya kijeshi na mbinu hizo lini mpaka watuombe tuwasaidie kazi zao?
2. Au wanataka tuwasaidie kazi hizo halafu watushugulikie Kama walivyo tangaza Jana tuu hata wiki haijaisha?
3. Au kauli ile ya Jana ya Jeshi la polisi imebatilishwa usiku waa manane wakati tumelala?
Karibuni ndugu zangu tuchangie hoja.
Bulembo leo kamaliza kila kitu,ccm haipo tena salamaWe nenda Dodoma ukalisaidie si mjuaji???
Huna ulicho kiandika hapo mkubwa ebu jipange vemaKama umejichanganya, samahani lakini, maelezo yako hayajaonesha pahala ambapo jeshi la polisi limewaomba bavicha kwenda Dodoma kuwa saidia kupambana na wahalifu.
mkuu kauli kama hizi zinaonesha mapungufu kwenye mafunzo yao hawjifunzi namna ya kuhusiana na jamiiNi Jana tuu ndugu wadau Jeshi la Polisi kupitia kwa kamanda wake wa operesheni na mafunzo akitoa ufafanuzi kuhusu zuio la mikutano ya nje na maandamano ya vyama vya SIASA alisema kuwa jeshi hilo huwa haliombi msaada toka kwa RAIA katika kupambana na uhalifu kwani hawana ujuzi Wa mafunzo ya KIJESHI na mbinu zake. Hivyo huwa wanaomba msaada ikibidi kutoka majeshi Mengine.
Na akasisitiza kuwa watu kujikusanya na kwenda kulisaidia jeshi hilo huko Dodoma ni kutaka kuvunja Amani na utulivu uliopo na atakaye kwenda atakiona cha mtema kuni.
Leo jeshi la polisi wakishrikiana na polisi ya kimataifa (INTERPOL) kupitia kituo cha habari ITV saa mbili usiku wametangaza kukamatwa kwa wahalifu wa kimataifa pamoja na mali mbalimbali na siraha walizokuwa nazo wahalifu hao.
Pia Jeshi hilo limeomba RAIA wema KULISAIDIA kupambana na uhalifu na walifu mbalimbali hapa nchini ili kudumisha Amani na utulivu.
Hapo sasa ndo nikapata maswali magumu kwangu matatu ya MSINGI.
1. Kwani sisi RAIA tumepata mafunzo ya kijeshi na mbinu hizo lini mpaka watuombe tuwasaidie kazi zao?
2. Au wanataka tuwasaidie kazi hizo halafu watushugulikie Kama walivyo tangaza Jana tuu hata wiki haijaisha?
3. Au kauli ile ya Jana ya Jeshi la polisi imebatilishwa usiku waa manane wakati tumelala?
Karibuni ndugu zangu tuchangie hoja.
Machadema akili zenu ni ngumu kutafsiri mambo, kama ng'ombe tuNi Jana tuu ndugu wadau Jeshi la Polisi kupitia kwa kamanda wake wa operesheni na mafunzo akitoa ufafanuzi kuhusu zuio la mikutano ya nje na maandamano ya vyama vya SIASA alisema kuwa jeshi hilo huwa haliombi msaada toka kwa RAIA katika kupambana na uhalifu kwani hawana ujuzi Wa mafunzo ya KIJESHI na mbinu zake. Hivyo huwa wanaomba msaada ikibidi kutoka majeshi Mengine.
Na akasisitiza kuwa watu kujikusanya na kwenda kulisaidia jeshi hilo huko Dodoma ni kutaka kuvunja Amani na utulivu uliopo na atakaye kwenda atakiona cha mtema kuni.
Leo jeshi la polisi wakishrikiana na polisi ya kimataifa (INTERPOL) kupitia kituo cha habari ITV saa mbili usiku wametangaza kukamatwa kwa wahalifu wa kimataifa pamoja na mali mbalimbali na siraha walizokuwa nazo wahalifu hao.
Pia Jeshi hilo limeomba RAIA wema KULISAIDIA kupambana na uhalifu na walifu mbalimbali hapa nchini ili kudumisha Amani na utulivu.
Hapo sasa ndo nikapata maswali magumu kwangu matatu ya MSINGI.
1. Kwani sisi RAIA tumepata mafunzo ya kijeshi na mbinu hizo lini mpaka watuombe tuwasaidie kazi zao?
2. Au wanataka tuwasaidie kazi hizo halafu watushugulikie Kama walivyo tangaza Jana tuu hata wiki haijaisha?
3. Au kauli ile ya Jana ya Jeshi la polisi imebatilishwa usiku waa manane wakati tumelala?
Karibuni ndugu zangu tuchangie hoja.
Ahsante Bi AdviraKupambana na uhalifu siyo lazima wewe ndiye ukakamate wahalifu.
Unapotoa taarifa police kuhusu uvunjifu wa sheria au amani katika sehemu uliyopo, kimantiki utakuwa umepambana na uhalifu au wahalifu.
Siyo kila mwananchi amefuzu mafunzo ya kupambana na wahalifu ana kwa ana. Kutoa taarifa police ni njia isiyo na gharama kubwa kwa mwananchi wa kawaida katika kupambana na wahalifu.
Hii ndiyo mantiki ya police.
Kama namwona,kamanda kova alikaba hadi penatiAhsante Bi Advira
Kwani bavicha ni RAIA wa Rwanda?
Kama umejichanganya, samahani lakini, maelezo yako hayajaonesha pahala ambapo jeshi la polisi limewaomba bavicha kwenda Dodoma kuwa saidia kupambana na wahalifu.