Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,433
- 283,714
Kulazimisha vyeo ni hatari sana !
Ukijishughulisha sana na watu hao utapata kichaa. Huwa kila mmoja anatamka la kwake.Ni Jana tuu ndugu wadau Jeshi la Polisi kupitia kwa kamanda wake wa operesheni na mafunzo akitoa ufafanuzi kuhusu zuio la mikutano ya nje na maandamano ya vyama vya SIASA alisema kuwa jeshi hilo huwa haliombi msaada toka kwa RAIA katika kupambana na uhalifu kwani hawana ujuzi Wa mafunzo ya KIJESHI na mbinu zake. Hivyo huwa wanaomba msaada ikibidi kutoka majeshi Mengine.
Na akasisitiza kuwa watu kujikusanya na kwenda kulisaidia jeshi hilo huko Dodoma ni kutaka kuvunja Amani na utulivu uliopo na atakaye kwenda atakiona cha mtema kuni.
Leo jeshi la polisi wakishrikiana na polisi ya kimataifa (INTERPOL) kupitia kituo cha habari ITV saa mbili usiku wametangaza kukamatwa kwa wahalifu wa kimataifa pamoja na mali mbalimbali na siraha walizokuwa nazo wahalifu hao.
Pia Jeshi hilo limeomba RAIA wema KULISAIDIA kupambana na uhalifu na walifu mbalimbali hapa nchini ili kudumisha Amani na utulivu.
Hapo sasa ndo nikapata maswali magumu kwangu matatu ya MSINGI.
1. Kwani sisi RAIA tumepata mafunzo ya kijeshi na mbinu hizo lini mpaka watuombe tuwasaidie kazi zao?
2. Au wanataka tuwasaidie kazi hizo halafu watushugulikie Kama walivyo tangaza Jana tuu hata wiki haijaisha?
3. Au kauli ile ya Jana ya Jeshi la polisi imebatilishwa usiku waa manane wakati tumelala?
Karibuni ndugu zangu tuchangie hoja.
Bahati yako mods wanaban kila mwenye mawazo ambayo si kama yakoKama umejichanganya, samahani lakini, maelezo yako hayajaonesha pahala ambapo jeshi la polisi limewaomba bavicha kwenda Dodoma kuwa saidia kupambana na wahalifu.
Hey dude, anaongelea logic ya polisi kuomba msaada kwa raia wakati jana walisema raia hawahitajiki kwani hawana mafunzo, jiongeze shing pin liu
Well, kama ni kejeli, basi hao waliokejeliwa imewapasa kukejeliwa maana wamejiaibisha wenyewe kwa kutoa kauli zinazokinzana ndani ya saa chache tu. By the way, ile kitu inaitwa polisi-jamii tafsiri yake nini? Maana raia wameambiwa hawana mafunzo yoyote ya kupambana na uhalifu kwa hiyo hawatakiwi kabisa kujishughulisha na mambo hayo.Kwa maoni yangu hakuna mantiki...alichoweka hapa ni kejeli...
We jamaa kwani bavicha s RAIA. Think wiselyKama umejichanganya, samahani lakini, maelezo yako hayajaonesha pahala ambapo jeshi la polisi limewaomba bavicha kwenda Dodoma kuwa saidia kupambana na wahalifu.
We jamaa kwani bavicha s RAIA. Think wisely
So bavicha si binadamu wenye uhalali wa U-Tanzania?Kama umejichanganya, samahani lakini, maelezo yako hayajaonesha pahala ambapo jeshi la polisi limewaomba bavicha kwenda Dodoma kuwa saidia kupambana na wahalifu.
Kwan bavicha waliomba nauli polisi ili wafike DodomaKupambana na uhalifu siyo lazima wewe ndiye ukakamate wahalifu.
Unapotoa taarifa police kuhusu uvunjifu wa sheria au amani katika sehemu uliyopo, kimantiki utakuwa umepambana na uhalifu au wahalifu.
Siyo kila mwananchi amefuzu mafunzo ya kupambana na wahalifu ana kwa ana. Kutoa taarifa police ni njia isiyo na gharama kubwa kwa mwananchi wa kawaida katika kupambana na wahalifu.
Hii ndiyo mantiki ya police.
Hehehehe bongo nchi ya kusadikika wallajNi Jana tuu ndugu wadau Jeshi la Polisi kupitia kwa kamanda wake wa operesheni na mafunzo akitoa ufafanuzi kuhusu zuio la mikutano ya nje na maandamano ya vyama vya SIASA alisema kuwa jeshi hilo huwa haliombi msaada toka kwa RAIA katika kupambana na uhalifu kwani hawana ujuzi Wa mafunzo ya KIJESHI na mbinu zake. Hivyo huwa wanaomba msaada ikibidi kutoka majeshi Mengine.
Na akasisitiza kuwa watu kujikusanya na kwenda kulisaidia jeshi hilo huko Dodoma ni kutaka kuvunja Amani na utulivu uliopo na atakaye kwenda atakiona cha mtema kuni.
Leo jeshi la polisi wakishrikiana na polisi ya kimataifa (INTERPOL) kupitia kituo cha habari ITV saa mbili usiku wametangaza kukamatwa kwa wahalifu wa kimataifa pamoja na mali mbalimbali na siraha walizokuwa nazo wahalifu hao.
Pia Jeshi hilo limeomba RAIA wema KULISAIDIA kupambana na uhalifu na walifu mbalimbali hapa nchini ili kudumisha Amani na utulivu.
Hapo sasa ndo nikapata maswali magumu kwangu matatu ya MSINGI.
1. Kwani sisi RAIA tumepata mafunzo ya kijeshi na mbinu hizo lini mpaka watuombe tuwasaidie kazi zao?
2. Au wanataka tuwasaidie kazi hizo halafu watushugulikie Kama walivyo tangaza Jana tuu hata wiki haijaisha?
3. Au kauli ile ya Jana ya Jeshi la polisi imebatilishwa usiku waa manane wakati tumelala?
Karibuni ndugu zangu tuchangie hoja.
Aliwaweka la mwisho..la 3!Nampenda sana Plato-tuko ktk madaraja matatu...tafuta hayo maelezo uniambie hiyo ya hao jamaa inawaweka daraja lipi.