Polisi watibua party ya ufuska iliyopangwa kufanyika Dar

Shida ya nchi masikini ni vipaumbele, sasa kweli mtu unakwenda kuwasakama watu wanaotaka kufanya party ya kuburudisha miili yao na tena wahusika ni watu walio miaka 18+.
Me nadhani serikali kupitia jeshi la polisi walitakiwa kupepeleleza kama katika miongoni mwa waliohudhuria hiyo party hakuna watoto age chini ya 18. Kama wapo then waandaaji waketuhumiwa na kesi.

Ila kusema kosa hapo ni watu kufanya ngono, hivi hao wanaokamata wenzao huwa hawahongi wanawake ili wakawale, au huwa hawanunui machangudoa.....?! The only difference hii biashara imefanyika kwa dau kubwa na imefanyika location maalumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kipindi hiki kila kitu Ni vi "wonder"
Inaboa sana....

Ajira ngumu vijana wanajaribu kuwa wabunifu. Taasisi za kifedha hazina ushirikiano kuwasaidia vijana mitaji. Biashara zina mahitaji makubwa sana ya kifedha katika kuzirasimisha brela, halimashauri na TRA.

Vijana inabidi wajiongeze nje ya box (Mr. KUKU) wakipata hizo hela jamaa wanaingilia kati wananyang'anya pesa zenyewe manina walahi hawa kenge wa serikalini manina zao hawa ipo siku yao wataanguka na kupata aibu isiyo na kipimo mbwa hawa.

Matukio kama haya ni vijana kutafuta mbinu mpya waweze kupata fedha za kulipia mahitaji yao ya msingi.....

Wewe kwa maisha ya sasa kijana hauna ajira hauna biashara hakuna mtu wa kukusaidia mtaji wala connection unaanzaje kujitegemea?!

Unalipaje kodi, unamudu vipi gharama za usafiri, mawasiliano na chakula, unamudu vipi kuwa na familia ya mke na watoto na kuwahudumia?!

Aiseee ukibana sana unawanyima watu option ya kufanya mambo halali hadi inawalazimu kuvunja sheria ili kusurvive.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na uelewa mdogo uliofungwa ndani ya boksi. Kwa kigezo cha utamaduni wa mtanzania. Ndo unaweza kuona waandaaji wa party hiyo wana makosa na ni watenda dhambi. Lakini ukiwa Mfikiriaji huru husiye na mipaka utajua ya kwamba hiyo ni sehemu moja wapo ya uhuru wa binafsi . Je ni mambo mangapi yapo yanatendeka katika nchi hii na ni kinyume kabisa na mila na tamaduni zetu.. wala hapana kiongozi anayesimama kuyazuia wala kuyakemea. Wizi wa mali za umma,mauaji ya watu wasio na hatia,Unyanyasaji wa watoto ki ngono, ndoa za utotoni mjini na vijijini,Rushwa katika ajira na ofisini. Haya yote yaki husisha viongozi wakubwa na raia wa kawaida. Mbona hayazuiwi wala kukemewa kwa uhalisia bali ki siasa tu. Ndo waje kukomalia hili la utashi wa mtu binafsi. Yaani mtu kaamua mwenyewe kwenda kulipa ili afanye uzinzi ndo iwe kesi. Acheni unafiki Viongozi wetu.
 
Najiuliza sijui wanazuia nini hapo. Kama ni maradhi mbona maralia ambayo inauwa mamilioni ya watu wanaikaushia na kuiacha imee ili wapige mpunga kutoka mataifa ya kigeni kupitia misaada.

Kama ni swala la utomvu wa maadili mbona rushwa, kukiukwa kwa katiba, na sheria za uongozi havikemewi kwa nguvu ile ile?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni tofauti na lile jambo la ladies free kama wangesema kuna "X-mass House Party" then waweke kiingilio na iwe ladies free.

Technically wasingekuwa matatani ni wangetafuta kibali tu mapemaaa
 
Sioni tofauti na lile jambo la ladies free kama wangesema kuna "X-mass House Party" then waweke kiingilio na iwe ladies free.

Technically wasingekuwa matatani ni wangetafuta kibali tu mapemaaa
Kuna fala ameamua kushare ile video na public na anajua kabisa maudhui yake si ya kuwekwa hadharani.

Ni sawa na hizi video za connections, kuna watu ushamba wao huwaambia kupost public.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la polisi halipo telegram? Halipo Instagram?Mbona zipo nyingi??
 
Back
Top Bottom