Polisi watanda kwa Mo Dewji

Polisi wapo kisheria tu na wala hiyo haiwafanyi kuaminika. Wasijipe kazi inayohitaji kuaminika wakati hawaaminiki. Wanaua soo kwamba ni walinzi kumbe wabaishaji tu.
 
Polisi wapo kisheria tu na wala hiyo haiwafanyi kuaminika. Wasijipe kazi inayohitaji kuaminika wakati hawaaminiki. Wanaua soo kwamba ni walinzi kumbe wabaishaji tu.
ndo hivyo, maisha ya jamaa ndo yameshabadilika jumla hivyo. Mwenyewe alikuwa yuko happy kuwa huru, na kwenda anakotaka bila uringi.

Issue yoyote ikishahusisha polisi tena hawa wa bongo ni full noma. Hapo wenyewe wameshajipatia kamchongo kao.
 
Angeomba mwenyewe hapo sawaa...!! lakini anajua wahusika ndo maana hataki huo msaada ni wakinafikiii
 
Unapigwa ngumi ya jino halafu unaulizwa unajisikiaje
 

Wanamlinda hadi pale atakapomaliza ' Kukariri ' maneno wanayompangia Kuyaongea katika ' Press Conference ' yake ya hivi karibuni na akimaliza watamwacha Huru ili aendelee na ' mishemishe ' zake na wakiona ' amekengeuka ' katika Makubaliano basi ' atatekwa ' tena na huenda safari hii ' akatekwa ' na Wachina wawili badala ya Wazungu na Gari haitotumika tena ya Surf bali huenda sasa ikatumika Gari aina ya Subaru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…