YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
Si kila mwandishi wa habari ni mwandishi wa habari wengine ni majambazi.Hivyo polisi wanapokuwa kwenye operation zao za kupambana na majambazi popote wasiruhusu mwandishi wala kikamera kiwe cha simu au chochote kuwapiga picha.
Kama wanataka waandishi wa tukio basi wawachukue waandishi wao wa jeshi la polisi ambao baadaye watatoa taarifa na picha nk kwa waandishi wa habari.
Kuweko kwa waandishi ni hatari kwa oparation mfano polisi wamezingira eneo waandishi wa habari ambao si waaminifu waweza kuwasiliana na majambazi eneo lililozingirwa kuwa simu au meseji au wasap kuwa torokeeeni upande fulani au wako upande huu wana silaha gani nk
Naomba jeshi la polisi lisiruhusu waandishi wa habari kuwa karibu nao wakiwa kwenye kazi zitto za kupambana na majambazi.IKiwezekana maeneo kama hayo yawe yanakatwa mawasiliano ya namna zote kipindi chote cha operation kwenye eneo husika ili simu zisiweze kutoka wala kuingia.