Polisi wasiruhusiwe kusimamia uchaguzi TLS

Barakaeli174

Senior Member
Aug 2, 2015
171
142
Wanasheria,

Msiruhusu polisi kuwapa ulinzi kwenye uchaguzi wa TLS chonde chonde msikubali hata kidogo, walipeni private security guards huo ni ujumbe wangu uwafikie na uzingatiwe vinginevyo shauri yenu.
 
Ulinzi wa polisi ni kwa maslahi ya watawala na viongozi wao.Walilinda mikutano ya CDM watu wakauawa kwa mabomu hatukuwahi kuona wakikiri huo udhaifu..walilinda ibada ya kufungua kanisa katoliki Arusha watu wakauawa...sasa wana maana gani.
 
Wanasheria,

Msiruhusu polisi kuwapa ulinzi kwenye uchaguzi wa TLS chonde chonde msikubali hata kidogo, walipeni private security guards huo ni ujumbe wangu uwafikie na uzingatiwe vinginevyo shauri yenu.

Police hawaalikwagi, huwa wanakuja tu
 
Back
Top Bottom