Polisi wasalimu amri warudisha Bendera ya CDM Tunduma!

Hongera makanda wa Tunduma kumbe nguvu ya uma haishindwi kitu

100_2312.JPG jiwe msg (2).JPG tdm.JPG tdm mt.JPG
 
wanafikiri wanaweza kawachocha wananchi lkn no sasa watanzania wanauelewa kuhusu siasa safi na siasa uchwara
 
Silinde fanya fasta uende Arumeru unekane tu inatosha. Wee pita road straight 2 mbuguni then Tengeru. Alafu tuliazako.
 
kwa mwendo huu mwisho wa safari viongozi watajua raha na karaha ya demo - krasia
 
Naambaliwa hali likuwa tete pia MBALIZI hadi polisi walirusha mabomu ya machozi sababu ni zilezile za bendera
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom