Polisi wasalimu amri warudisha Bendera ya CDM Tunduma!

Haka kajamaa kanazululam sana inabidi karudi dar mapema, kuanzia Tanga,Ruvuma, Pwani, Rukwa, Katavi, nasasa Mbeya,inakera na bado hajatatua hata tatizo moja pamoja na ziara hizi zote
 
Nadhani katika hili tukubali busara imetumika labda Mh. Bilal amesema jamani rudisheni hiyo bendera. Lakini wakati mwingine watu wetu wa usalama ni kama hawatumii akili, hivi Tunduma hapo huwezi kusoma alama za nyakati kweli?, jimbo liko chini ya CDM, sina uhakika na diwani, lakini picha halisi inajionyesha na hii nchi ni ya vyama vingi hivi jamani kwanini hata busara ndogo isitumike ili kuepisha mambo kama haya?
Hongereni Tunduma hapo naona kuna wanaume hasa
 
Haya sasa...ukisema CCM inazidi kupoteza mvuto kwa kasi isiyo kifani...kuna watu hutokwa povu humu JF...haya bwana tuombeni uzima...2015 tuwe hai.
 
naomba kufahamishwa vema ni kweli hayo yanayotokea kulingana na uzi inamaanisha kuwa chadema wanakubalika sana?
napata shida kuamini kuwa ni kweli cdm imekubalika katika sehemu nyingi za tanzania,,,,,, je kama ni upepo na hisia tu hizo za maisha magumu?
 
Na bado... Serikali ya sisiem inabidi ibebe jukumu la kuhakikisha kwa vyovyote vile Mwakyembe anapona. Ikitokea vinginevyo sijui huko nyanda za juu kusini itakavyo kuwa. Ulishawahi ona mchawi akikabidhiwa mtoto? Ndio hii issue ya Mwakyembe kwa sisiemu.
.
 
Kwani maisha magumu yameanza leo kwanini hujiulizi huu upepo wa hisia umetoka wapi na nani kausababisha maana hata upepo una chanzo chake usifikiri huwa unavuma tu pila kuwa na msukumo (pressure).
 
Na bado... Serikali ya sisiem inabidi ibebe jukumu la kuhakikisha kwa vyovyote vile Mwakyembe anapona. Ikitokea vinginevyo sijui huko nyanda za juu kusini itakavyo kuwa. Ulishawahi ona mchawi akikabidhiwa mtoto? Ndio hii issue ya Mwakyembe kwa sisiemu.
.
Kama ni Polanium 210 suala la kupona ni la kumwachia Mungu, ila kama kweli ikitokea CCM nyanda za Juu hasa Kyela inakazi pevu ukiongezea na afya ya Mwandyosa.
 
Kwa stil hii ya uchama badala ya utaifa sijui tunaelekea wapi!!!!!!!!!!!!!!! Kwani makamu wa rais ameenda kutafuta kura au ameenda kwa shughuli za kichama au ameenda kiserikali? Kama ni kanda kwenye kampeni za uchaguzi au kwenye shughuli za kichama basi wanahaki ya kufanya kilichofanywa ila kama ameenda kwenye shughuli za kiserikali hilo ni jambo la mhemuko na lisilokubalika maana uchaguzi ushapita na ccm ndiyo iko madarakani sasa kama hatuitaki tufanye mapinduzi na siyo kuzomea au kufanya ujingaujinga usio na maana.
 
Hongera makanda wa Tunduma kumbe nguvu ya uma haishindwi kitu
mkuu ilikuwa lazima warudishe sababu moja sehemu hiyo ndo ngome ya chadema pili hilo shina lilifunguliwa na makam mgombea uraisi chadema 2010 na ilikikua pembeni ya jukwaa la makam rais taifa hoja yao ni kwamba mbona kipindi amekuja nahodha waziri bendera hazikutolewa za ccm iweje leo za chadema zing'olewb
wakati huo chadema ni watawala wa hili jimbo
 
Hivi kazi ya polisi ni kuiba bendera za vyama vya siasa?
No, wasilipwe mishahara kwa kodi za wananchi.......too low yet again.
 
Hivi kazi ya polisi ni kuiba bendera za vyama vya siasa?
No, wasilipwe mishahara kwa kodi za wananchi.......too low yet again.
mkuu bora wangeiba sehem nyingine sio pale.pale ndio top kwa chedema mbozi mashariki pale ndipo walipo wafadhili wa chadema wapigania chadema na mashabiki wa chadema wa ukweli
 
Kwa stil hii ya uchama badala ya utaifa sijui tunaelekea wapi!!!!!!!!!!!!!!! Kwani makamu wa rais ameenda kutafuta kura au ameenda kwa shughuli za kichama au ameenda kiserikali? Kama ni kanda kwenye kampeni za uchaguzi au kwenye shughuli za kichama basi wanahaki ya kufanya kilichofanywa ila kama ameenda kwenye shughuli za kiserikali hilo ni jambo la mhemuko na lisilokubalika maana uchaguzi ushapita na ccm ndiyo iko madarakani sasa kama hatuitaki tufanye mapinduzi na siyo kuzomea au kufanya ujingaujinga usio na maana.
Shughuli za kiserikali na kushusha bendera za vyama wapi na wapi hivi mnafikiri bado mko enzi ya chama kimoja eee!!!
 
Shughuli za kiserikali na kushusha bendera za vyama wapi na wapi hivi mnafikiri bado mko enzi ya chama kimoja eee!!!

Mkuu umeniwahi,kama ulikua akilini mwangu vile!thanks kwa kunisaidia,watu wengine wanakera sana,sijuhi uwa hawatafakari kabla ya kuchangia hoja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom